Ta kuko frest just waiting for your arrival
unipitie na mimi nataka nikaongee na mtu mzima mwenzangu Dark City maneno ma2 ma3, sawa?Worry out i will let you know when im ready.
Hope before mid of march i will be there.
shukrani mdogo wangu,Sawa usihali sister wangu wa ukweli.
Nilikumiss jana lol
shukrani mdogo wangu,
juzi na jana sikutia mguu kabisa hapa, niliamua kujipa break.....
weekend ipo powa kabisa, sijui yakoOk sawa...!
Vip weekend?
Worry out i will let you know when im ready.
Hope before mid of march i will be there.
woow you will be my guest of honor
weekend ipo powa kabisa, sijui yako
Poa mama Junior!
Hajambo Erick?
thats why sipendi wakosane ila ukubwa wa pua sio wingi wa kamasi
Hajambo kabisa ERICK wetu.
Za jumapili?
Baba JUNIOR mambo?
woow you will be my guest of honor
Ni nzuri sana aisee nimejichokea zangu tu
Ana mtoto huyo huyo nyoka wa kibisa...!!?
Shughuli haikuwa ndogo eti eeee......
Umeona eeeh mwanaume kazi aisee lol kuchoka matokeo