Labda miaka 20 mbele ndipo Watanzania watajaribu kuandamana bila vibali

Samia atosha tukutane2030

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
17,728
Reaction score
49,762
Vijana waliokosa akili sasa kidogo akili zinawarudi. Hao wapinzani hutumia matukio kama ya October 29 ili kupata pesa na mpenyo wa kushika madaraka.

Walitaka vijana wafe kwa wingi October 29 ili wapate mtaji mbele za wazungu. Wameandika barua nyingi na kupeleka watu nje kwa siri Marekani na kwingineko lakini ikagonga mwamba.

Leo walitaka tena vijana wajinga wakafe ili wasukume ajenda zao lakini vijana wanegoma.
Yaani ufe wewe then Heche atumie kifo chako kuomba mamilioni Ulaya.

Labda miaka 20 mbele ndipo Watanzania watajaribu kuandamana bila vibali. Ila kwa sasa hapana.
 
file_00000000730072468f17c272d5cf4d3e.png
 
watoke hata usiku huu wanyooshwe vizuri ili pawepo na funzo
🫪🫪🫪
Hapa sio kupima ubavu, kujua nani kashinda serikali imepoteza na imeingia gharama na wananchi nao majumbani wameingia hasara.. Hakuna haja ya kujivunia kwenye hili, ila inabidi watu kukaa chini kutatua hili tatizo
 
Vijana waliokosa akili sasa kidogo akili zinawarudi. Hao wapinzani hutumia matukio kama ya October 29 ili kupata pesa na mpenyo wa kushika madaraka.

Walitaka vijana wafe kwa wingi October 29 ili wapate mtaji mbele za wazungu. Wameandika barua nyingi na kupeleka watu nje kwa siri Marekani na kwingineko lakini ikagonga mwamba.

Leo walitaka tena vijana wajinga wakafe ili wasukume ajenda zao lakini vijana wanegoma.
Yaani ufe wewe then Heche atumie kifo chako kuomba mamilioni Ulaya.

Labda miaka 20 mbele ndipo Watanzania watajaribu kuandamana bila vibali. Ila kwa sasa hapana.
Ni Watanzania gani walitangaza kuandamana leo? Siyo kwamba ni nyinyi wenyewe ndiyo mliamua kujitengenezea maandamano yenu feki ili muwatishe wananchi na mikwara mbuzi yenu!
 
Mnatumia nguvu kubwa kupambana na adui msiyemjua. Kiburi chenu kina mwisho wake. Kusikia kwa kenge ni hadi atoke damu..........tatizo mnalijua lakini mnajifanya kufunga macho. Samia must go.
 
Back
Top Bottom