Labda mnielimishe nyie, sioni faida ya paka ambae mke anamgharamia sana bila faida

Labda mnielimishe nyie, sioni faida ya paka ambae mke anamgharamia sana bila faida

Nimeshindwa kuchangia maana naona vyote ni muhimu, jamaa anampenda mkewe hawezi kumuacha kwa7bu ya paka, na mkewe anampenda paka, hawezi kumuacha paka kwa7bu ya mumewe, , , ila nawaza paka analetewa samaki mara mbili kwa wiki??? Na ninyi mnatumia samaki mara ngapi kwa wiki mkuu?

Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app
 
Paka mbwa ni wanyama wanatunzwa vizuri sana. kwenye huu uzi nimegundua kuna watu hawawapendi hawa wanyama................ Ni hivi sisi nyumbani mbwa huwa ana nafasi yake kubwa tuu.. ana mpk freezer yake. Paka nae vile vile ingawa yeye anakula tunachokula pia.

Unampikia mbwa unaweka mpka chumvi ole wako mwenye nyumba akionje akute hakina chumvi ukila siku hiyo una bahati. Kuna siku tulilaa njaa kisa chakula alipewa mbwa kwa uzembe wa shamba boy na mama hakuwa makini.
 
Endeleeni kumgharamikia atakuwa ng'ombe,muda si mtaanza kunywa maziwa.
 
Vumilia..maana ndicho akipendacho mkewe icho.
 
Mkuu huyo paka jibu lake lipo kwenye uzi wako mwenyewe huu hapa...👇🏽
👇🏽
"...maendeleo..ukaishia kusema 'usishindane na mwanamke..wenzetu wanahongwa' lakini kumbe wapo sensitive na maisha.Hata nyumbani unaweza ukawa unamuachia mkeo elfu kumi au zaidi kwaajili ya matumizi ya nyumbani kwa siku(inategemea na kipato..."
 
Kwa namna ambavyo sipendi paka ningekua nishampiga mpini wa kichwa au kitofa .
 
Huyo paka ni muhimu sana hapo kwako kwani wewe upo busy sana na hivyo anamsaidia kumfairji mkeo. Na siku ukimuondoa mkeo anatafuta mchepuko au utamsikia anataka houseboy ili aanze biashara ndogondog. Kama huamini utakuja kunishukuru.
 
Back
Top Bottom