Labda mnielimishe nyie, sioni faida ya paka ambae mke anamgharamia sana bila faida

Chief mtagombana tu bila sababu, cha msingi siku wife hayuko mbebe paka kamtupe mtaa wa 10 huko kuwa makini paka akiona njia atarudi, jion wife akiuliza utajifanya hujui kinachendelea kero imeisha hiyo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Paka mbwa ni wanyama wanatunzwa vizuri sana. kwenye huu uzi nimegundua kuna watu hawawapendi hawa wanyama................ Ni hivi sisi nyumbani mbwa huwa ana nafasi yake kubwa tuu.. ana mpk freezer yake. Paka nae vile vile ingawa yeye anakula tunachokula pia.

Unampikia mbwa unaweka mpka chumvi ole wako mwenye nyumba akionje akute hakina chumvi ukila siku hiyo una bahati. Kuna siku tulilaa njaa kisa chakula alipewa mbwa kwa uzembe wa shamba boy na mama hakuwa makini.
Mbwa wenu ana maisha mazuri kuliko mm na wenzangu wengi hahahaha
 
Hamna ni ile tuu anapata chakula chake ipasavyo na huwa anakula mara moja tuu saa 4 usiku mpk tena kesho yake saa 4 mchana anakuwa anakunywa maji na kulala tuu.. wala hayupo mmoja wako 4
 
Chief mtagombana tu bila sababu, cha msingi siku wife hayuko mbebe paka kamtupe mtaa wa 10 huko kuwa makini paka akiona njia atarudi, jion wife akiuliza utajifanya hujui kinachendelea kero imeisha hiyo
paka mtaa wa 10 atarudi. ikiwezekana awekwe ktk gunia apelekwe zaidi ya km 20. KUNA ndugu alimpeleka paka kata inayofuata baada ya mwezi karudi.
 
Paka mbwa ni wanyama wanatunzwa vizuri sana. kwenye huu uzi nimegundua kuna watu hawawapendi hawa wanyama................ Ni hivi sisi nyumbani mbwa huwa ana nafasi yake kubwa tuu.. ana mpk freezer yake. Paka nae vile vile ingawa yeye anakula tunachokula pia.

Unampikia mbwa unaweka mpka chumvi ole wako mwenye nyumba akionje akute hakina chumvi ukila siku hiyo una bahati. Kuna siku tulilaa njaa kisa chakula alipewa mbwa kwa uzembe wa shamba boy na mama hakuwa makini.
Ondoka kwenu umeshazeeka
 
Hivi ninyi siyo wakinga kweli?
Paka wenu siyo mweusi kweli?
Siyo kwamba huyo paka ana chumba chake kweli?

Tuanzie hapo
 
Paka mbwa ni wanyama wanatunzwa vizuri sana. kwenye huu uzi nimegundua kuna watu hawawapendi hawa wanyama................ Ni hivi sisi nyumbani mbwa huwa ana nafasi yake kubwa tuu.. ana mpk freezer yake. Paka nae vile vile ingawa yeye anakula tunachokula pia.

Unampikia mbwa unaweka mpka chumvi ole wako mwenye nyumba akionje akute hakina chumvi ukila siku hiyo una bahati. Kuna siku tulilaa njaa kisa chakula alipewa mbwa kwa uzembe wa shamba boy na mama hakuwa makini.
Hata sisi mbwa ilikuwa mkimlaza njaa wanatwambia basi na nyie msile ili msikie njaa kama anavoisikia hyo mbwa(mama alikuwa na huruma na viumbe anasema kama huwezi kumlisha vizuri ni bora usimfuge )paka nawapenda sema sijawahi wafuga
 
Paka tu unaona wivu anavyokila...ukiishi na ndugu za mkeo je?????

Mradi hakudhuru fanya kama hayupo
 
Sioni tatizo....ni interest yake tu. Labda kama anatumia gharama kubwa hapo ndo tatizo ila kwa samaki kwa wiki na maziwa bado si nyingi coz hali samaki mzima.... Wema sepetu ndo mthenge alifanyiaga umbwa yake shopping china milion 6 eti. Yule ningeua angekua dem wangu
 
Back
Top Bottom