Labda mnielimishe nyie, sioni faida ya paka ambae mke anamgharamia sana bila faida

Labda mnielimishe nyie, sioni faida ya paka ambae mke anamgharamia sana bila faida

Mpe mimba mfululizo awe bize na watoto. Atamsahau paka
 
Hata sisi mbwa ilikuwa mkimlaza njaa wanatwambia basi na nyie msile ili msikie njaa kama anavoisikia hyo mbwa(mama alikuwa na huruma na viumbe anasema kama huwezi kumlisha vizuri ni bora usimfuge )paka nawapenda sema sijawahi wafuga

Bora ninyi mnaambiwa kiupole hivyo. Nasema hivi kuna siku chakula cha jioni walikuwa mbwa kisa tuu hawakupikiwa
 
Back
Top Bottom