D Deceiver JF-Expert Member Joined Apr 19, 2018 Posts 9,446 Reaction score 17,017 Feb 8, 2021 #61 Mpe mimba mfululizo awe bize na watoto. Atamsahau paka
M Miss Madeko JF-Expert Member Joined Apr 30, 2014 Posts 4,364 Reaction score 5,609 Feb 9, 2021 #62 mapanga25 said: Hata sisi mbwa ilikuwa mkimlaza njaa wanatwambia basi na nyie msile ili msikie njaa kama anavoisikia hyo mbwa(mama alikuwa na huruma na viumbe anasema kama huwezi kumlisha vizuri ni bora usimfuge )paka nawapenda sema sijawahi wafuga Click to expand... Bora ninyi mnaambiwa kiupole hivyo. Nasema hivi kuna siku chakula cha jioni walikuwa mbwa kisa tuu hawakupikiwa
mapanga25 said: Hata sisi mbwa ilikuwa mkimlaza njaa wanatwambia basi na nyie msile ili msikie njaa kama anavoisikia hyo mbwa(mama alikuwa na huruma na viumbe anasema kama huwezi kumlisha vizuri ni bora usimfuge )paka nawapenda sema sijawahi wafuga Click to expand... Bora ninyi mnaambiwa kiupole hivyo. Nasema hivi kuna siku chakula cha jioni walikuwa mbwa kisa tuu hawakupikiwa