Labda Mungu tu ndo atawaokoa Atletico Madrid Alianza Arena

Nilishangaa eti porto benfica....
hamna mkate mgumu mbele ya Chai hata ya baridi...
 
naanza kukuelewa atletico ni bingwa nina uhakika kocha muhuni sana huyu diego semion
 
Bravo still Bahati AT wanayo
....hakuna bahati,hii timu Simeone kaitengeneza kuanzia nyuma,ni wagumu haswa kufungika,na counter zao ni za moto hazishikiki!,Kama Bayern kakosa penat na wao Atleti wamekosa!, hakuna bahati hapo!
Hawa viumbe wanaenda kuchukua hilo kombe properly,no matter nani atashinda kesho!
 
Ni maajabu ya kweli, walijiamini kupita kiasi.
Aiseee acha kabisa huku ndo kusema Mpira unadunda!!,Real Madrid nao wakae attention Man City anaweza fanya maajabu.
 
Reactions: BAK
mbona ndugu unajichanganya?kila team huwa wana abbreviation au nickname eg Man U,Barca,The blues,The gunners etc
Mkuu sio kujichanganya nilimaanisha unavyo rate AT,ni kama spurs na aston villa vile....!!! Simeone na big games ni THE END
 
Inawezekana kabisa MANCITY wakaamuadhiri mtu lakini kama watacheza kama walivyocheza juzi na Southampton basi nao watalambwa tu

Aiseee acha kabisa huku ndo kusema Mpira unadunda!!,Real Madrid nao wakae attention Man City anaweza fanya maajabu.
 
...Barca kutolewa na Atleti ilikuwa halali,leo Bayern nae kapigwa,yoyote ataefata nae atakula tu!,na wale ndugu zangu ndio walifurahia kweli kumkwepa Atleti kwenye robo fainali...Ameshatangulia..!!!
 
It's time you eat your own words
Go Atleti
 
Mkuu sio kujichanganya nilimaanisha unavyo rate AT,ni kama spurs na aston villa vile....!!! Simeone na big games ni THE END
Wanaweza kuwa mabingwa I can bet maana siioni team yakuwazuia baada ya Buyern
 
Haya sasa mende kesha dondosha ligholofa, wakuuwawa auwawe, anyooshe shingo yake tuielekezee kibra....
 
...Barca kutolewa na Atleti ilikuwa halali,leo Bayern nae kapigwa,yoyote ataefata nae atakula tu!,na wale ndugu zangu ndio walifurahia kweli kumkwepa Atleti kwenye robo fainali...Ameshatangulia..!!!

zidane analia tu peke yake mana shughuli yao anaijua najua man city atapokea za kutosha alishindwa kutumia uwanja wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…