Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wala sio bahati...Bravo still Bahati AT wanayo
Fainali ni RMA vs ATLNimeamini ukianzia nyumban na ukawa na clean sht ....unaasilimia kubwa ya kufanya vizuri.....
I wish real madrid watolewe nao hio kesho
Yoyote yule anaweza kuaga, AT sio Porto wala timu yoyote. AT sio wabaya ugenini labda wasiwe na bahati. Mara nyingi Guardiola akipakiwa Kontena na watu kucheza kwa Counter huwa anachemka ila sijui kwa Game hii, naona yoyote yule anaweza kutolewa na kupita maana bingwa wa kombe anatoka hapa.
....hakuna bahati,hii timu Simeone kaitengeneza kuanzia nyuma,ni wagumu haswa kufungika,na counter zao ni za moto hazishikiki!,Kama Bayern kakosa penat na wao Atleti wamekosa!, hakuna bahati hapo!Bravo still Bahati AT wanayo
Aiseee acha kabisa huku ndo kusema Mpira unadunda!!,Real Madrid nao wakae attention Man City anaweza fanya maajabu.Ni maajabu ya kweli, walijiamini kupita kiasi.
Mkuu sio kujichanganya nilimaanisha unavyo rate AT,ni kama spurs na aston villa vile....!!! Simeone na big games ni THE ENDmbona ndugu unajichanganya?kila team huwa wana abbreviation au nickname eg Man U,Barca,The blues,The gunners etc
Bayern chaliiiiiiiiiiAt hana uwezo wa kumtoa bayen
Gurdiola amesema Bayern ikitolewa na ATM auliwe
Aiseee acha kabisa huku ndo kusema Mpira unadunda!!,Real Madrid nao wakae attention Man City anaweza fanya maajabu.
Bravo still Bahati AT wanayo
Sometimes pamoja na ufundi mwingi (team tactics) bahati kwenye football ipo,hilo halina ubishi.Unajua kwanini scenario kama hii naizungumzia Atletico Madrid wazee wa deep defence?1 st leg ya semi Final UEFA champions league walipocheza na Bayern Munich pamoja na kuwa nyumbani kwao technically walizidiwa na bahati ndo iliwafanya washinde sole goal la Saul Niguez .
Sio kama na ignore ufundi wa wachezaji mafundi wa AT kama Fernando Torres(El-nino inasemekena amefufuka tena score yake per match inatisha),Antonio Griezman ,Godwin ,Koke ,Fillipe Luis,Gabi etc
Kiufundi kabisa ukiangalia kwa umakini ukaacha ushabiki pembeni Buyern walipiga mpira wa hali ya juu sana na walitengeneza magoli mengi sana sema tu hawakuwa na bahati
Tukija upande wa makocha Diego Semeone ni mission town kocha mjanja mjanja ambaye anashinda game zake ngumu nyingi kwa kutumia ufundi wa kisaikolojia wakati Pap Gudiola ni kocha Fundi ambaye ni mwepesi sana wa ku cope na ku exploit weakness ya opponent wake ,huku akitumia vipaji vya team yake kama Robert Lendowsky,Thomas Muller ,Thiago Alcantara ,Jerome Boateng ,Arjen Roben -fundi ,Vidal,Martinez ,Frank Ribery ,Gotze etc huwa anapata sana ushindi wa goal nyingi sana uwanja wa nyumbani ,situation kama hii tumeiona msimu huu wa UEFA ,kwenye match dhidi ya Juventus(16 bora),BenFica(quarter final) na hata msimu wa mwaka jana nani amesahau kama Bayern alipigwa Goal 3-1 robo fainali na Porto akageuza matokeo kwa kumpiga 6-1 Alianza Arena?
Kama experience ambacho ni kigezo kikubwa cha UEFA ili uweze ku strive wachezaji wa Bayern ndo walewale ambao wanapindua matokeo kwa home advantage ground na wachezaji wa AT wengi wao na kocha ni wale wale ambao wanahistoria yakupoteza match kubwa kwa kuzuia sana mara baada ya kupata ushindi (Refer UEFA champions league mwaka 2013-2014 hadi dakika ya 75 Atletico alikua anaongoza kwa goal 1 kutokana na Psychological maturity ya players wakubwa wa Madrid walibadilisha matokeo na kuchukua ndoo wakimuacha Simeone Diego mdomo wazi huku akiwa tayari alishaliambia jukwaa waanze kushangilia ushindi na kurudisha wachezaji nyuma kuzuia)
Kwahiyo Bayern kuanzia ufundi wa kocha Pap Gudiola ,uwezo mkubwa sana wa kikosi chake wake( wanajulikana sana kwa ma shoot makali) historia ya home ground ,umuhimu wa match bila kusahau style yao yakuzishinda uwanja wa nyumbani kuliko ugenini ukilinganisha na weakness na strength za Atletico ,Namuona Pap Gudiola anatengeneza njia ya Fainal ya UEFA
Naomba tukutane hapa baada ya match siku ya jumanne
ndio style playing kwa big matches na ndio hua hatareeee zaidi kuliko wakiwa open to play...Atletico wamekuwa too defencive,hicho ndio kitakacho wagharimu..
...Barca kutolewa na Atleti ilikuwa halali,leo Bayern nae kapigwa,yoyote ataefata nae atakula tu!,na wale ndugu zangu ndio walifurahia kweli kumkwepa Atleti kwenye robo fainali...Ameshatangulia..!!!