Labda Mungu tu ndo atawaokoa Atletico Madrid Alianza Arena

Inawezekana kabisa MANCITY wakaamuadhiri mtu lakini kama watacheza kama walivyocheza juzi na Southampton basi nao watalambwa tu
Hamna hawatacheza game vile siku Ile walikubali kufungwa na walikuwa na tahadhari kubwa wasipate majeruhi,Man City kny ligi kakubali matokeo sasahivi kawekeza nguvu zote kwenye UEFA.
 
Reactions: BAK
Okay tutawaona kesho halafu hili la kuweka hadharani wachezaji wanne au watano ambao inadaiwa hawatarudi msimu ujao lilikuwa ni kosa kubwa sana. Kama timu haichezi tena kwa ari kubwa kama ilivyotegemewa.

Hamna hawatacheza game vile siku Ile walikubali kufungwa na walikuwa na tahadhari kubwa wasipate majeruhi,Man City kny ligi kakubali matokeo sasahivi kawekeza nguvu zote kwenye UEFA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…