Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 47,397
- 101,204
hahahaha,ngoja na mm siku nikuandikie uzimi pia sielewi kabisa
hahahaha,ngoja na mm siku nikuandikie uzimi pia sielewi kabisa
hahahaha utachekesha watuhahahaha,ngoja na mm siku nikuandikie uzi
hahahahaha,kwann ,kwan mie nimchekeshaji ?hahahaha utachekesha watu
hiyo siku ndo utageuka mchekeshajihahahahaha,kwann ,kwan mie nimchekeshaji ?
Pia umasikini nao unachangia,kajamaa kanaonekana kamejaa dhiki mpaka kwenye kope za macho.Jinga sana ilo jamaa.
Yote matokeo ya kukaa kinondoni.
Mimi mwenyewe 😗Na mie nani ataniandikia Uzi kama hivi,🥹
🤣🤣Kuna mtu hapo juu anatoa madai wakati na yeye yumo kwenye daftari la wapiga kura😂
HayaaMimi mwenyewe 😗
😁😁😁💣ShesRise_1 ogopa😁 mwanaume anaetumia "coz" kwenye sentensi nzake, siku zote ni chapati ya kumimina💅
Ngoja nikamwombe mnazareti atuepushe na madhira, tutimize lengo 😄, na wewe uende kanisani au sio vitu vyako 😁?Hayaa
Inaombwaje kakaHaiombwi namna hivyoo
Sawasawa ahsante kwa ushauri 🙏Nenda inbox kajimalize si iko wazi?