Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,958
- 183,574
Pambana.Ongea na binti, basi si ulinikatalia mishangazi sasa nimefanya maamuzi sahihi madam
Pambana.Ongea na binti, basi si ulinikatalia mishangazi sasa nimefanya maamuzi sahihi madam
🤣🤣 Dogo kumbe nawe una zamani?Vijana wamerahisishiwa mazingira na hii technology lakini bado wanayumba, zamani hamna simu & ukionekana umesimama na mdada ni msala, hizi movement tukawa tunafanya kimya kimya.
Hawa Millennials waliokuwa wanaandikiana barua wengi mi kaka yao, zama hizo tunatumia signals, kuchora sehemu, kuweka alama, jiwe au tawi la mti ili kufanikisha meeting...... huwezi kuelewa hii kama hujafata bidhaa maduka ya ujamaaa!🤣🤣 Dogo kumbe nawe una zamani?
Do I welcome too? I like the league.de Gunner umesema sipendi drama Na kweli sipendi drama kabisa wanaonielewa wanajua
Ila umeamua kufanya drama zile zile nisizopenda why?
Next time usifanye hivi omba PM kama hisia zako ni za kweli na kisha huko PM mwagika uwezavyo
Hapa unawapa Haters wangu maneno utaona wakija kubweka hapa kua hiyo I'D yako ni yangu na nimeamua kujifungulia uzi
Ili kutaka umaarufu
Kutaka attention kitu kamwe siwezi
Sijapenda ulichofanya
Sijafurahishwa kabisa
Lakini nachagua kukujibu kwa heshima tu na ni kwasababu pia kuna watu naheshimiana nao huku jukwaani
Leo sitakijibu vibaya but next time usifanye hivi 🙏🙏🙏
Mkuu naomba unieleze kidogo hili jambo, nimesoma uzi wako wote huu bado sielewi unakuwaje na maumivu moyoni kwa sababu ya mtu usiyefahamiana naye?Ni kheri kuliko kukaa na Maumivu rohoni
Nafsi yangu na mwili wangu havinidanganyi kuhusu kupenda huyu mwali... Ulisha wahi kusikia watu wanapenda kwa maandishi?Mkuu naomba unieleze kidogo hili jambo, nimesoma uzi wako wote huu bado sielewi unakuwaje na maumivu moyoni kwa sababu ya mtu usiyefahamiana naye?
pole anaona soni mbele za watu mfate private atakuelewaNdio njia pekee iliyo baki na nimekua za uso..
Ni kheri kuliko kukaa na Maumivu rohoni
Kwahiyo unajenga character yake,tabia zake na mwonekano wake kutokea kwenye maandishi tu! Labda kweli ninyi watu spiritual mnaweza. Endelea kupambania uchakokiaminiNafsi yangu na mwili wangu havinidanganyi kuhusu kupenda huyu mwali... Ulisha wahi kusikia watu wanapenda kwa maandishi?
Miaka ya nyuma before internet? Basi na mimi imenitokea
Kumbe ni bwabwa linatikisa kalio 😁Wewe Papai inaonekana nakutesa sana,unatumia kila ID's zako ila nazijua zote,
Ukiona tu comment yangu,lazima ujipitishe mbele yangu huku unanitingishia kalio,angalia tu usije ukakata shanga zako za kiunoni,
Kumbe nyie mapapai hua mnatumia neno nzake badala ya zake.
Lazima awe ana fukumuliwa Makebo yake😁ShesRise_1 ogopa😁 mwanaume anaetumia "coz" kwenye sentensi nzake, siku zote ni chapati ya kumimina💅
You see ona sasa ShesRise_1 one mpaka Vishu kasema twaendana!Mshatumiana picha??
Kama bado nashauri mfanye hivyo kwanza.
Nyote ni waanzisha nyuzi mahiri, msijekimbiana huko jf ikajaa nyuzi za mipasho.
ShesRise_1 ogopa😁 mwanaume anaetumia "coz" kwenye sentensi nzake, siku zote ni chapati ya kumimina💅