Masagala
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 4,663
- 9,335
Some idiots like you actually wanted her.What does this have to mean?
Some idiots like you actually wanted her.What does this have to mean?
Umelewa? Bro
Kuna msemo mmoja unaenda hivi
"when a guy has a crush on a girl every one knows knows but the crush, but when a girl has a crush on a guy no one knows but the crush"
Hivyo ndugu zangu ni kheri nikawa muwazi tu maana, hisia hazijifichi..
Na mimi ego yangu sio mbaya niseme nimezee ndani hisia zangu kwa huyu mrembo ShesRise_1
Ewe ShesRise_1 since day one, nimekuona kama msichana mzuri na mwenye self awareness ya hali ya juu, I even told you once ya kuwa you're such a wise girl in here..
Nilikwambia kuwa leo ninazawadi kwako, na huu uzi ndo zawadi yenyewe.. I've been attracted to you toka zamani and you know this.. Beautiful and kindred chick with a pure heart and soul..
Najua huwa unaniona nakimbizana na mishangazi humu, but I assure you it's nothing serious.. I just look upon being with you alone, never had I siezed loving you..
Unajua huwa nakuwa creative instantly in your presence, it is because our connection is soo deep and true... I feel I can do anything just knowing you're by my side.
Kwanzia leo natangazaa rasmi na niko serious kabisa ya kuwa the only person I have been secretly in love with is you.. ShesRise_1
Mtoto hupendwi drama,
Huna kujiona,
your posts are soo welcoming
Mtoto upo direct na huupindishi vitu
Mtoto mwenye a compassionate and passionate heart. Just know that ninakuwaza day in, day out..
JF na members wote waninicheke I don't care, maana I'm used to discomfort
tena kwako just know I'm gonna give my all.
You're a treasure my soul longed before I even met you..
I hope you'll one day just get a glimpse of how my heart burns for you..
I Met alot of people but no body feels like you. Hope this song will be a dedication to you my little secrete.
View attachment 3654449
Daughter hutaki nipokee mahari!?😭de Gunner umesema sipendi drama Na kweli sipendi drama kabisa wanaonielewa wanajua
Ila umeamua kufanya drama zile zile nisizopenda why?
Next time usifanye hivi omba PM kama hisia zako ni za kweli na kisha huko PM mwagika uwezavyo
Hapa unawapa Haters wangu maneno utaona wakija kubweka hapa kua hiyo I'D yako ni yangu na nimeamua kujifungulia uzi
Ili kutaka umaarufu
Kutaka attention kitu kamwe siwezi
Sijapenda ulichofanya
Sijafurahishwa kabisa
Lakini nachagua kukujibu kwa heshima tu na ni kwasababu pia kuna watu naheshimiana nao huku jukwaani
Leo sitakijibu vibaya but next time usifanye hivi 🙏🙏🙏
Halafu nilisahau kuku tag daddy yake...Daughter hutaki nipokee mahari!?😭View attachment 3654484
😊 karibu pombeBless brother🙏🙏
Mda sana mwanangu , utokee tu kitaa😇Hapana kaka
We ushalewa?
Sijafanya any drama my gde Gunner umesema sipendi drama Na kweli sipendi drama kabisa wanaonielewa wanajua
Ila umeamua kufanya drama zile zile nisizopenda why?
Next time usifanye hivi omba PM kama hisia zako ni za kweli na kisha huko PM mwagika uwezavyo
Hapa unawapa Haters wangu maneno utaona wakija kubweka hapa kua hiyo I'D yako ni yangu na nimeamua kujifungulia uzi
Ili kutaka umaarufu
Kutaka attention kitu kamwe siwezi
Sijapenda ulichofanya
Sijafurahishwa kabisa
Lakini nachagua kukujibu kwa heshima tu na ni kwasababu pia kuna watu naheshimiana nao huku jukwaani
Leo sitakijibu vibaya but next time usifanye hivi 🙏🙏🙏
ephen_ ongeza kwa orodhaMimi nilijizuia kuuliza bora umeniwakilisha!
Kuna muda alikua anamtaka binti kiziwi akapigwa cha mbavu sasa hivi anaishia kumtukana.
Akamchombeza binti wa zamani nako akapigwa cha mbavu.
Tatizo anataka mishangazi ili wamlee
Unawataka wote?
Ndio maana hauna akili kumbe?Pombe tena😁 Hapana bro