ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
Unajua kwanini umeulizwa umelewaHapana kaka
We ushalewa?
Ni kwa sababu umeonesha unanikubali dear
Ukiweza kuangalia japo sio muhimu sana
Utaona chuki za watu ziki type
But for me sijali sana
Hua naangalia anaenichukia ni nani nikishamuangalia natabasamu
Sipendi drama basi 🙌
I'm out huu uzi