Labda niwe muwazi juu yako ShesRise_1

Labda niwe muwazi juu yako ShesRise_1

Umeenda mbali sana mdada.

Kwake yeye ww ndo amekuona mnyonge wa kujipigia, mana kama kweli anakupenda angekuja pm muongee private

So anampenda nani kati yako au binti wa zamani?
I know what I’m saying
With all due respect, I think it’s best we leave things here🙏🙏
 
de Gunner umesema sipendi drama Na kweli sipendi drama kabisa wanaonielewa wanajua

Ila umeamua kufanya drama zile zile nisizopenda why?

Next time usifanye hivi omba PM kama hisia zako ni za kweli na kisha huko PM mwagika uwezavyo

Hapa unawapa Haters wangu maneno utaona wakija kubweka hapa kua hiyo I'D yako ni yangu na nimeamua kujifungulia uzi
Ili kutaka umaarufu
Kutaka attention kitu kamwe siwezi

Sijapenda ulichofanya
Sijafurahishwa kabisa

Lakini nachagua kukujibu kwa heshima tu na ni kwasababu pia kuna watu naheshimiana nao huku jukwaani

Leo sitakijibu vibaya but next time usifanye hivi 🙏🙏🙏
Ameshaitika tayari green light hii ushindwe wewe tu de Gunner
Safi.
 
Back
Top Bottom