Labda niwe muwazi juu yako ShesRise_1

Labda niwe muwazi juu yako ShesRise_1

Toka nimeingia humu sikuwahi kufikiria nitapenda mtu, sikuwahi kufikiria Nitakuwa drawn kwa ID ya mtu maana nilikuwa najua maandishi haya reflect physical beauty...

Kumbe I was wrong, sikujua how maandishi ya mtu hurelfect maisha halisi ya mtu husika hasa subconsciously... Ndipo nilipo kuja kuanza kusoma maandishi yako ewe mrembo Binti wa zamani yakanichukua hivi.. Nimekupenda bure na unalifahamu hilo.

Unajua how stubborn I can be ila kwako na kuwa mtoto, tena mjinga kabisa. Nimekufa nikaoza, nikafa na kufufuka kwako mrembo. Najua utajua naandika utoto na kudhani am a player... Ila tambua kwako nimekwama. Sina ujanja, Sina nguvu, ni kama Samson kwa Delilah, ni kama jack kwa rose, ni kama Angelo kwa inna.

Natangaza rasmi kuwa wewe ndo crush wangu, wewe ndo nikuwazae now and then, umetawala mawazo yangu na itakuwa si vyema kusema ukweli.

Wadau wa jf huwa naona wanapostia nyuzi watu zamani nilikuwa nadhani wanacheza ila yamenikuta na mimi... Ewe Binti wa zamani huwa unanikosha sana na bandiko zako za malavidavi sio hapo tu napenda akili yako mwanamke swafi kabisa. Jf wote wa nicheke tuu I don't give a damn.

"Some people are simply meant to be admired from afar. I'm grateful to be in your orbit. With warmth and respect."
 
de Gunner umesema sipendi drama Na kweli sipendi drama kabisa wanaonielewa wanajua

Ila umeamua kufanya drama zile zile nisizopenda why?

Next time usifanye hivi omba PM kama hisia zako ni za kweli na kisha huko PM mwagika uwezavyo

Hapa unawapa Haters wangu maneno utaona wakija kubweka hapa kua hiyo I'D yako ni yangu na nimeamua kujifungulia uzi
Ili kutaka umaarufu
Kutaka attention kitu kamwe siwezi

Sijapenda ulichofanya
Sijafurahishwa kabisa

Lakini nachagua kukujibu kwa heshima tu na ni kwasababu pia kuna watu naheshimiana nao huku jukwaani

Leo sitakijibu vibaya but next time usifanye hivi 🙏🙏🙏
Next time ipi au unataka umkubalie mara mbili 🤔
 
Back
Top Bottom