Then mada za kifala kama hizi ziwe zinawekwa huko.Kuna haja ya JamiiForums kuanzisha Jukwaa la watoto.
Ila sasa ndo unaharibuAm just teaching these Mf how to act
Kwa style hii ndo umpate huyo demu? 😂
Au unataka na mm nikuandikie uzi, nijidhalilishe kwa ajili yako 😎
Imeisha hiyo 🤝Ukiniandikia uzi tunaachana 😎
Unajua kwanini umeulizwa umelewa
Ni kwa sababu umeonesha unanikubali dear
Ukiweza kuangalia japo sio muhimu sana
Utaona chuki za watu ziki type
But for me sijali sana
Hua naangalia anaenichukia ni nani nikishamuangalia natabasamu
Sipendi drama basi 🙌
I'm out huu uzi
Sawa dear 🙏Kumbe!
Nitapitia comments nikiweza
Wazoee tu, hili la kuanzishiwa uzi huwa madhara yake ni kama haya ya kuanza kujadiliwa
Mkiachana nicheki PM nizibe hiyo nafasi.Ukiniandikia uzi tunaachana 😎
Acha uchawi broMkiachana nicheki PM nizibe hiyo nafasi.
Mkiachana nicheki PM nizibe hiyo nafasi.
Usichukulie too serious comments za JF,Unajua kwanini umeulizwa umelewa
Ni kwa sababu umeonesha unanikubali dear
Ukiweza kuangalia japo sio muhimu sana
Utaona chuki za watu ziki type
But for me sijali sana
Hua naangalia anaenichukia ni nani nikishamuangalia natabasamu
Sipendi drama basi 🙌
I'm out huu uzi
Thank you brother🙏Usichukulie too serious comments za JF,
Love the life u live
Live the life u love.
Pokea simu.Hivi leo mbona kama umedhamiria kunichekesha 😂😂
Mnaendana sana nyie ni kapo ya mwaka , kongole kwenu.
Best couple kwa kushindwanishwa na couple zipi?Best couple of the year! 😊
Usichukulie too serious comments za JF,
Love the life u live
Live the life u love.