Uhuru umezidi watu wanajiamulia tuu 😀😀😀Best couple kwa kushindwanishwa na couple zipi?
Kwani wewe kazi zako unazifanyia humu? Coz naona na wewe upo kwenye uzi na watu wasiokua na kazi za kufanya.kwani wenzetu hamna kazi za kufanya.
Ushapiga mahesabu kabisa🤔 kwamba unaweza usifikeIla Dembele lizurii hili likaka, sema lifupi tu.
Jamaa tunamuelewesha afu yeye anatujibu jeuriHaya mambo muwe mnauliza wakulungwa hakuna Mwanamke anatongozwa public this way in a serious way akakubali, mahusiano ni private sio public yanapokuwa yameletwa public tayari in private kuna misingi imewekwa, zamani ukimtongoza Mwanamke anakubali anakupa sharti la asijue mtu.
Kwa case hiyo Mkuu kwa namna ulivyofanya ni kama kumdharirisha labda kama mnafanya utani wa siku zote lakini kama uko serious, ulitakiwa umfuate private, kama private hafikiki tafuta mtu aliyezoea na naye kwa kuamini kuwa hatufahamiani lakini wapo waliozoea na na pengine kufahamiana zaidi ya hapa, ungefanya hivyo kwa kumheshimu, hapa watu watazungumza kauli zingine za kumdharirisha
Dude are you up to something?If you know the lady doesn't drama, you can't go all open like this. I understand there's no right way to go about it but at least you got to know what the person likes or doesn't like before making a move. To me this is a show off.
Hate?Infact wewe ndo wapaswa kuifanya jnia ya kumpata huyo mdogo wako iwe safi kwangu
Now you're just spitting hate in here
This was the only optionHaya mambo muwe mnauliza wakulungwa hakuna Mwanamke anatongozwa public this way in a serious way akakubali, mahusiano ni private sio public yanapokuwa yameletwa public tayari in private kuna misingi imewekwa, zamani ukimtongoza Mwanamke anakubali anakupa sharti la asijue mtu.
Kwa case hiyo Mkuu kwa namna ulivyofanya ni kama kumdharirisha labda kama mnafanya utani wa siku zote lakini kama uko serious, ulitakiwa umfuate private, kama private hafikiki tafuta mtu aliyezoea na naye kwa kuamini kuwa hatufahamiani lakini wapo waliozoea na na pengine kufahamiana zaidi ya hapa, ungefanya hivyo kwa kumheshimu, hapa watu watazungumza kauli zingine za kumdharirisha
Khaaa... we wizoIla Dembele lizurii hili likaka, sema lifupi tu.
Mkuu Mshana naomba tuongee kwa pm juu hili..Daughter hutaki nipokee mahari!?ðŸ˜View attachment 3654484
Unazid kupunguza points broHuna cha kunishauri wewe mbwa koko
Sampa he, ughurihangia fe idemu?Tafuta geto kwanza.