Labda niwe muwazi juu yako ShesRise_1

Labda niwe muwazi juu yako ShesRise_1

Tuliza chogo mshamba wewe
Hizi lugha zitakuponza kijana, hapa siongelei ban. Ni kweli tunatumia ID ila hazituondolei uhalisia wetu, hizi ID zinabeba na kuwakilisha hadhi na uhalisia wetu.

Nnachomaanisha, jifunze kuwa na utulivu, hata pale ambapo una sababu na una haki ya kutukana.

Kama wengi walivyosema, kwenye hili, umekosea, na hasa kama haukua na mawasiliano nae awali na mhusika, sasa kwa hizi kauli na namna unajibizana na watu hapa, kwa mtu asiyependa drama hawezi kukuzingatia.

Jambo la kwanza unatakiwa umuombe radhi ShesRise_1
 
Unatwanga maji kwenye kinu ndugu🤣
 
Hujui nimeanzia wapi mpka kufikia hapa
Ndo maana mnao lalamika ni nyie walimwengu tu
 
Yani we jamaa ndo hujui kuomba mbunye kabisa!

Sijui ni mtoto wa mama wewe?

Muombe hata binti yangu Lamomy akufundishe mbinu za kuomboleza mbunye ipasavyo.
 
Vijana wamerahisishiwa mazingira na hii technology lakini bado wanayumba, zamani hamna simu & ukionekana umesimama na mdada ni msala, hizi movement tukawa tunafanya kimya kimya.
We mwenyewe gen z sasa sijui unamsahuri nani hapa?
 
Yani we jamaa ndo hujui kuomba mbunye kabisa!

Sijui ni mtoto wa mama wewe?

Muombe hata binti yangu Lamomy akufundishe mbinu za kuomboleza mbunye ipasavyo.
Aisee kwa huyo dogo nimesha nyoosha mikono🙌 aisee usije usimkaribishe kwa nyuzi zangu
 
Kwa uzoefu wangu, kama ulikuwa umebakisha mita 10 kumfikia, basi umbali umeongeka mpaka 1km. Hata hivyo nikutakie kila la kheri
 
Back
Top Bottom