Labda niwe muwazi juu yako ShesRise_1

Labda niwe muwazi juu yako ShesRise_1

de Gunner umesema sipendi drama Na kweli sipendi drama kabisa wanaonielewa wanajua

Ila umeamua kufanya drama zile zile nisizopenda why?

Next time usifanye hivi omba PM kama hisia zako ni za kweli na kisha huko PM mwagika uwezavyo

Hapa unawapa Haters wangu maneno utaona wakija kubweka hapa kua hiyo I'D yako ni yangu na nimeamua kujifungulia uzi
Ili kutaka umaarufu
Kutaka attention kitu kamwe siwezi

Sijapenda ulichofanya
Sijafurahishwa kabisa

Lakini nachagua kukujibu kwa heshima tu na ni kwasababu pia kuna watu naheshimiana nao huku jukwaani

Leo sitakijibu vibaya but next time usifanye hivi 🙏🙏🙏
This is good
 
Back
Top Bottom