Labda niwe muwazi juu yako ShesRise_1

Labda niwe muwazi juu yako ShesRise_1

Mimi ndiyo mnyonge wa kujipigia? naomba upo ongea huku ukinihusisha
Tuheshimiane hizo drama za PM kwenu usilete hapa nakuheshimu Mbaga Jr

Heshima haiombwi
Ila mimi nakuomba uniheshimu 🙏🙏🙏
Umeenda mbali sana mdada.

Kwake yeye ww ndo amekuona mnyonge wa kujipigia, mana kama kweli anakupenda angekuja pm muongee private

So anampenda nani kati yako au binti wa zamani?
 
Back
Top Bottom