Labda niwe muwazi juu yako ShesRise_1

de Gunner umesema sipendi drama Na kweli sipendi drama kabisa wanaonielewa wanajua

Ila umeamua kufanya drama zile zile nisizopenda why?

Next time usifanye hivi omba PM kama hisia zako ni za kweli na kisha huko PM mwagika uwezavyo

Hapa unawapa Haters wangu maneno utaona wakija kubweka hapa kua hiyo I'D yako ni yangu na nimeamua kujifungulia uzi
Ili kutaka umaarufu
Kutaka attention kitu kamwe siwezi

Sijapenda ulichofanya
Sijafurahishwa kabisa

Lakini nachagua kukujibu kwa heshima tu na ni kwasababu pia kuna watu naheshimiana nao huku jukwaani

Leo sitakijibu vibaya but next time usifanye hivi ๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™
 
 
Daughter hutaki nipokee mahari!?๐Ÿ˜ญ
 
Sijafanya any drama my g

I told you uje pm na ulinipiga chenga na nika kwambia ya kuwa nina zawadi yako..

I know I may sound crazy, but Atleast I said what I truly mean... It's helpful to me even if I get rejected

Usiwasikilize haters... Nipo hapa kuku Linda na hakuna kiumbe wa ku kusumbua my love

Hata usinijibu vibaya because I'll not sleep well of you say to my face that you don't love me..

You are the only one ShesRise_1 trust me
 
Mimi nilijizuia kuuliza bora umeniwakilisha!
Kuna muda alikua anamtaka binti kiziwi akapigwa cha mbavu sasa hivi anaishia kumtukana.
Akamchombeza binti wa zamani nako akapigwa cha mbavu.

Tatizo anataka mishangazi ili wamlee
ephen_ ongeza kwa orodha
Nani kakwambia Binti wa zamani alinikataa?
Unajua tulikuwa tu naongea nini private?

Wabongo bwana!
Unawataka wote?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ