Label ya WCB imeshuka kiuwezo, baada ya Harmonize kutoka imebaki na wasanii local

Mzee unaweweseka mno, umeiona video ya Teamo lakini? huyo konde visingeli unamweka wap kwa mfano?

Kwa sasahiv;-
Yummy - Justin Bieber (5/10)
Teamo - Rayvanny (8.5/10)

Ukibisha toa udenda kajinyongee
 
Wewe umealikwa wapi ?
 
Tukiachana na ushabiki ni kweli mpaka sasa sijaona faida waliyopata WCB alipoondoka Harmonize na wala sijaona mafanikio aliyopata alipoondoka WCB. Wote walipata mafanikio walipokuwa pamoja tofauti na sasa. Sioni mwanga wala dalili njema kwa wote. 1+1 > 2
 
Ni kweli umoja ni nguvu ila mtoto akikua mwache aende , dunia itatoa majibu kama ulikuwa uamuzi wake au kuna watu walimlazimisha tu , wacha tuweke sawa kumbukumbu
 
Waganga njaa wa mjini naona mpo kutetea ugali mkiongozwa na jamaa moja hivi hapa silitaji..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…