Label ya WCB imeshuka kiuwezo, baada ya Harmonize kutoka imebaki na wasanii local

Mpaka sasa breakup ya WCB na Harmo kwangu naiona kama iko kwenye lose lose situation.

WCB siyo wale tena waliokuwa na Harmo, na Harmo siyo yule tena aliyekuwa WCB.

Umoja ni nguvu, utengano ni udhaifu.
Upo sahihi kabisa, Harmo hayupo level za Diamond, na akina Rayvan hawapo level za Harmo. Ukimtoa Daimond,Harmo alikuwa anafuata kwa kuibeba Lebel.

Hawa jamaa wote wamepoteza kwa namna fulani. Ila still naamini kwa sasa Harmo anapata mafanikio kiuchumi sababu yupo independent.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We lebo yako kubwa yenye mameneja wanaojielewa na wabunifu imekufikisha wapi ??Tujifunze kutia moyo wenzetu wanaojitahidi kupiga hatua kimaendeleo tusiwe watabiri wa mikosi na kuanguka wenzetu mana hatufaidiki kwa lolote
 
kwani alipokuwepo ulijua faida wanayopata..?
 
Kumbe huyu Harmonize siyo msanii localπŸ™„ ni International mmakonde wa Msumbiji??



Everyday is Saturday.................😎
 
Harmonize amewapoteza sanaa ....wanahangaika kupata atakae chukuwa nafasi yake bila mafanikio inabidi tu boss wao domo aichukuw nafasi ya harmonize [emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiuchumi wakati ajamaliza hata deni la contract termination plus show za bure daily

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…