Kigoma Independent
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 3,519
- 2,055
Diamomd hakuna wakuichua na kulinganishwa naye ,na pia harmonize haingii hata kidogo kwa rayvanny shusha data na mimi ni shushe data naanza na BET awards okHarmonize amewapoteza sanaa ....wanahangaika kupata atakae chukuwa nafasi yake bila mafanikio inabidi tu boss wao domo aichukuw nafasi ya harmonize [emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Na imepatikana teamo unalingineRayvan katoa Ngoma 5 kwa kutaka kubahatisha kama anaweza kupatamo hit hata moja
[emoji3][emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimejaribu kumfuatilia Harmonize pia katika video tatu alizotoa hivi karibuni kupitia You tube hakuna ngoma iliyofika views milioni moja mpaka sasa tofauti na zamani zilikua zinagonga fasta!
Hata ukuangalia hujanikomoa ina siku tatu ina views 500,000+ na Rayvanny Teamo imetoka Jana nayo ina 500,000+ wamepishana kidogo sana!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijazungumzia ubora wa nyimbo nilichomaanisha ni fan base yake imepunguaHivi kwanini mnachanganyikiwa sana na views? Ubora wa wimbo unapimwa na views?
Kilichotokea ni kwamba bajeti ya kuboost imepungua pengine haipo kabisa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijazungumzia ubora wa nyimbo nilichomaanisha ni fan base yake imepungua
Kuhusu suala la kununua views ni vizuri ukafuta taarifa sahihi ya ukweli wa hicho unachokiongea,tafuta hata interview ya Mx Carter You tube akihojiwa na SNS upate taarifa sahihi!
Sent using Jamii Forums mobile app
Uongee Mara ngapi muda n kweli WCB alikuwa Diamond na Harmonize na harmo kutoka imedisturb pale huo ndo ukweli sasa kazi ni kwao kama wataweza kumtengeneza mwingine Wa kariba ya Harmonize na kama watafeli bas hiki kinachoonekana sasa KITAJIDHIHIRISHA kwa UKUBWA wake.Nimekubaliana na ww wapi? wewe jipe unabii ila mda utaongea, uzuriJF thread hawafuti,we endelea kucheka na kujitekenya mwenyewe ,siku ikifika HII THREAD yako UTAIKATAA ila sisi tutakusaidia kukukumbusha.
Na nyumba alokuwa anakaa kahama now inapangishwa kumbe alipanga salasala, nyumba 1.8 per month daah wasanii wetu kujiongeza ni shida sana...why usijenge yako ya kawaida kalii kama ya ney Wa mitego kuliko kuchukua mghorofa Wa bei hiyooooooo ukamnufaishe mwenye nyumba.Ngoja Nimstue Rayvan kama vipi turudimo mbeya tukalimemo mahindi
MUDA utaongea tu.Ila naona ushahamisha magoli kwa Harmonize,leo Harmonize mzuri au leo Harmonize hafanani na Diamond(UNAFIKI).Uongee Mara ngapi muda n kweli WCB alikuwa Diamond na Harmonize na harmo kutoka imedisturb pale huo ndo ukweli sasa kazi ni kwao kama wataweza kumtengeneza mwingine Wa kariba ya Harmonize na kama watafeli bas hiki kinachoonekana sasa KITAJIDHIHIRISHA kwa UKUBWA wake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Show yake au ndo YALEYALE??Diamond kaishiwa [emoji2]
Sema jamaa anakera sana ,kaangalie Guinea huko alichofanya...nyie uzeni twist tu mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Unamzungumzia Kiba MKURUGENZI WA VIPAJI ROCK STAR na ambaye yupo SIGNED SONY MUSIC?. Mkurugenzi Wa KINGS MUSIC RECORD LABEL?..Msanii pekee Wa KUIMBA ambaye anatoa ngoma moja kwa mwaka WCB wanatoa 10 na bado mnamuwaza hamumuwaz Jux wala Navykenzo?...au KIBA YUPI unamzungumzia?..Huyu huyu alomfanya Diamond ahame madale baada ya kuvuja kwa MGHOROFA WAKE TABATA?.. Au Kiba yupi unaemsema wewe kaka?..yule ambaye Diamond anamlilia kwenye show za Wasafi Festival afu jamaa anamgomea au Kiba gani?..Kiba huyu alochukua MTV mbele ya WIZKID au yupi aliyeshuka kimuziki?..umenifanya nijiulize maswali mengi sana ni KIBA YUPI?Team kiba wanateseka kweli kweli badala umpambanie kiba baada ya kushuka kimziki unapambana na lebel kubwa ya WCB ambao wanashow nyingi za nje kubwa Rayvanny mwezi wa 4 ana show India, Mboso ana show Morocco mwezi huo huo, lavalava ana show Rwanda. Huyo harmonize tokea aondoke WCB show za nje zimekauka sasa sijui amepanda au ameshuka jibu unalo hapo sijamzungumzia babalao mwenyewe mondi maana nikimzungumzia nitakukera zaidi.
UNO siyo hitsong??..duuuh hahahahahahaaaa siku hizi vijana tumekuwa wachawi kuliko wazeeMKUU mbona harmonize na Rich mavoko baada ya kutoka wcb wamekua local ?, kama harmonize hatoi hit songs tena , Mavoko sijui kaamua kua mvuta bangi
Sent using iphone
Hii comment yako watu wakiona watakucheka sana.Ukitaka kichekesho Kama hiki tuma kwenda 25563Unamzungumzia Kiba MKURUGENZI WA VIPAJI ROCK STAR na ambaye yupo SIGNED SONY MUSIC?. Mkurugenzi Wa KINGS MUSIC RECORD LABEL?..Msanii pekee Wa KUIMBA ambaye anatoa ngoma moja kwa mwaka WCB wanatoa 10 na bado mnamuwaza hamumuwaz Jux wala Navykenzo?...au KIBA YUPI unamzungumzia?..Huyu huyu alomfanya Diamond ahame madale baada ya kuvuja kwa MGHOROFA WAKE TABATA?.. Au Kiba yupi unaemsema wewe kaka?..yule ambaye Diamond anamlilia kwenye show za Wasafi Festival afu jamaa anamgomea au Kiba gani?..Kiba huyu alochukua MTV mbele ya WIZKID au yupi aliyeshuka kimuziki?..umenifanya nijiulize maswali mengi sana ni KIBA YUPI?
Sent using Jamii Forums mobile app
Dogo kala dili na Sayona na sa hivi akipiga show mshiko wote wake,ukiachana na hiyo anasikika Media nyingi sana tofauti na upande Ule alokuwa mwanzo..kazi IPO kule sasa kuziba Pengo la MMAKONDE...harmo hadi sasa kafanikiwa zaidi kwa upande wanguTukiachana na ushabiki ni kweli mpaka sasa sijaona faida waliyopata WCB alipoondoka Harmonize na wala sijaona mafanikio aliyopata alipoondoka WCB. Wote walipata mafanikio walipokuwa pamoja tofauti na sasa. Sioni mwanga wala dalili njema kwa wote. 1+1 > 2
Anawazungumzia wale walopiga show za bure mbeya na kigomaMtoa mada anamsema huyu konde boy aneyepiga show ccm kirumba na tegeta nyuki???
Sent using Jamii Forums mobile app
Asa mbona ww baada ya kucheka UMEKOMENT?..wadada Wa mjini bwanaHii comment yako watu wakiona watakucheka sana.Ukitaka kichekesho Kama hiki tuma kwenda 25563
Uoni hata aibu hata wewe umkasha boss wako kiba mmeanda kwa kondeboy