Label ya WCB imeshuka kiuwezo, baada ya Harmonize kutoka imebaki na wasanii local

Label ya WCB imeshuka kiuwezo, baada ya Harmonize kutoka imebaki na wasanii local

Mond at the peak

Sent using Jamii Forums mobile app,using POP 2 power
 
Unamzungumzia Kiba MKURUGENZI WA VIPAJI ROCK STAR na ambaye yupo SIGNED SONY MUSIC?. Mkurugenzi Wa KINGS MUSIC RECORD LABEL?..Msanii pekee Wa KUIMBA ambaye anatoa ngoma moja kwa mwaka WCB wanatoa 10 na bado mnamuwaza hamumuwaz Jux wala Navykenzo?...au KIBA YUPI unamzungumzia?..Huyu huyu alomfanya Diamond ahame madale baada ya kuvuja kwa MGHOROFA WAKE TABATA?.. Au Kiba yupi unaemsema wewe kaka?..yule ambaye Diamond anamlilia kwenye show za Wasafi Festival afu jamaa anamgomea au Kiba gani?..Kiba huyu alochukua MTV mbele ya WIZKID au yupi aliyeshuka kimuziki?..umenifanya nijiulize maswali mengi sana ni KIBA YUPI?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kalale MTV gani ya kupewa ile ilikuwa ya wizkid,gorofa gani la kuazimwa ,kutoa wimbo sio ubabw bali hana idea za kutunga,kuitwa kwenye show na diamond ni kutaka asaidiwe hela ya watotoaana hanaga show,mkurugenzi wa kingmusic yajuzi na diamond WCB asemaje ambaye ametoa msanii analiyeshinda BET akafanye hivyo KIBAMIA NI MIA MBOVU KWANZA AMEZEEKA MIAKA45+

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dogo kala dili na Sayona na sa hivi akipiga show mshiko wote wake,ukiachana na hiyo anasikika Media nyingi sana tofauti na upande Ule alokuwa mwanzo..kazi IPO kule sasa kuziba Pengo la MMAKONDE...harmo hadi sasa kafanikiwa zaidi kwa upande wangu

Sent using Jamii Forums mobile app
Show za bure na kuimba michapo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MKUU mbona harmonize na Rich mavoko baada ya kutoka wcb wamekua local ?, kama harmonize hatoi hit songs tena , Mavoko sijui kaamua kua mvuta bangi

Sent using iphone
nyimbo ya mwisho kutoa konde ni uno
 
Huyu jamaa anazungumzia mziki ila haeleweki na hajui anachozungumzia eti rayvanny kabahatisha ngoma tanoo Ili aone itakayohit unaelewa maana ya EP lakini ???? Diamond platnumz Yuko booked kwa international show mpaka mwezi wa 7 hivi harmonize toka alivoondoka wasafi unaikumbukaa show yoyote na international kafanyaa au kwa kua unaskiaa nyimboo mtaani fatilia mzikii acha maneno ya khangaa aisee😂😂😂😂😂
 
Hata huku mtaani ngoma zake hazihit, Ngoma yake iliyofanya vizuri ni uno pekee zingine zote zimebuma.
 
jaZIba?...JAZIBA....jaziba daaaah...kaka ni jazba sawa nmejaribu kuiandika kwa namna tofauti lakini wapi...ni JAZBA we shabiki wa Muziki mbovu sawa?

Sent using Jamii Forums mobile app
Watetezi wa harmo bhana😂 mna stress Sana, hamieni Kwa marioo kidog ndo ana future...konde Hana tumaini kabisa amebak kulalama tu ...
 
Back
Top Bottom