Don YF
JF-Expert Member
- May 24, 2014
- 10,494
- 9,854
Umenena, hope wenzako watakuskiza, lakini usiwe na matumaini mitanzania ambao wamefungwa macho na propaganda za CCM hawawezi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo nilichokua nasema huku Tzn mambo mengi yanafanyika kipuuz puuz tu wanasiasa wasiojielewa afu wakenya wanapotuambia ukweli humu wanaojiita wazalendo punguani akina icho & co.badala ya kujibu hoja wanaishia kutukana tu
Ukweli ni kwamba tuko mbali sana kufikia ustaarab wa wakenya kwenye nyanja karibu zote wametupiga,kulikua na jukwaa la mazao ukiangalia uzslishaji wetu uko chini licha ya kua na favourable factors kwenye ishu ya rasilimali.Tukubali kwamba ccm wameishiwa
Sent using Jamii Forums mobile app