Ladies, let’s do the real talk...

Ladies, let’s do the real talk...

A guy unamkuta ana nyumba, ana usafiri, ana biashara yake na kazi yenye kipato kizuri. All of this umekuta ameaccomplish mwenyewe bila ya wewe.....

Then unakuwa attracted na this type of a guy na kumpa all of your attention na moyo ili muwe pamoja. But the problem inakuja kwenye swala moja....?!

Unakwenda kuchangia nini katika maisha yake zaidi ya kutaka kutumia nae alichotafuta......?!

If he in all well and good and you are broke as broke..... Nambie hapa unakwenda kutoa what type of contribution ili tuite umekwenda fanya maisha na huyu brother?!

Ladies can i hear from you about this, guys you too can contribute.

On my side sijawahi kutamani that time of start katika mahusiano. The good thing nimeona thamani ya kuanza pamoja na hata hapa nilipofikia nashukuru sana MUNGU naona tofauti ya kuishi na mwanaume na kuwa na mwanaume........
Una akili kinoma, akili yako ina ukomavu.
 
Kikubwa kupendana tu haijalishi ana mali au hana mali. Unasema naenda kucontribute nini? Yeye hadi anakuja kunitaka atakuwa anahitaji nini? Mpaka akataka mahusiano basi kuna kitu ameona kinapungua katika maisha yake...hicho ndio nitakachocontribute
Hujaelewa hoja yake umejibu kishabikia tu , jitazame wewe kama wewe sio tena yeye mpaka amekuja kwako anahitaji nini, anaweza kukutaka ili akutumie tu au kukufanya kitumizi chake tu ... Mnatakiwa muwe na akili kama ya mtoa mada, big up kwake
 
Thers always a price to pay...weng tunawajua mnakuja kwetu kwasabab ya maisha....infact we know that already...

Kwahyo

Huwez hata sku1 nikuta that well halaf ukawa pekeyako..mwanamke tambua hilo

I ll just pretend all the way....kwenye hyo journey ya mapenz.lakin kaa ukijua hauko peke yako sabab wanaotaman hzo vtu mko weng...n by the way...tha ratio ya nyie na sisi kama unavyojua...nyie mko weng
 
Niliwahi date the guy hakuniambia kama kuna vitu tayari anamiliki, baada ya uhusiano na kwenda nyumbani kwetu ndiyo anaanza kufunguka I have this and this, na akaanza nionyesha vitu vyake, nadhani ndiyo alianza kuniamini lakini ukweli baada ya kujua hayo yote ndiyo nikachukua uamuzi wa kuachana naye..!

Sababu mwanzo nilijua hiyo 'kind ya disrespect' ako nayo sometimes, labda ndivyo alivyo, baada ya kujua alivyo navyo ndiyo akili ikafunguka anhaa' kumbe this is the reason huyu kaka anani treat hivi?? Sababu ana jeuri na 'kibri' cha pesa, nadhani alikuwa anaamini hakuna mwanamke atamuacha, ila mzee hakuamini niliseeeepa mbio nyingi sana japo hadi nyumbani alikuwa anafahamika tayari.!!

Ladies, ni wanaume wachache sana uwakute wana kila kitu na bado wataku treat right, tumeanza from the scratch na my current man na raqha ya kupendwa na kuheshimiwa naiona lol'.!!
Wanawake na drama [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mwanaume akiwa na kila kitu anakuwa sokoni yaani pale wanawake wote wenye tamaa za kipuuzi puuzi wanamuwinda hii ni sawa na mwanamke mzuri sana mara nyingi unakuta benz zinasimama kutongoza hawa watu uwaga na mtazamo flan hivi wa kipekee sio wote lakini.

ILA sikushauri uanze na mwanaume maskini kutafuta maisha kama unajijua una dharau maana wengi wenu wadada unakuta anaishi na mwanaume maskini kuanzia chini kidharau dharau,kimasimang’o halafu eti mwanaume akishika hela anatarajia ataendelea kuvumilia dharau zake,NEVER.Kama huwezi kuishi na mwanaume maskini kwa kumuheshimu achana nae mapemaaaaaa maana akishika hela atakubadilikia mpk ushangae...

Note:wanawake mjue kbs ni wanaume wachache sana utawanyanyasa wakiwa na hela hivyo kuwa makini na mwanaume ambaye yupo stable,mnyanyase akiwa hana kitu akipata ndugu yangu naomba heshima irudi kwa kishindo.Utakuja kulalamika humu mwanaume nimemvumilia akiwa hana hela kapata ananidharau,ULIKUWA UNAISHIJE NAE kipindi hana hela????????????????????mwanaume hana kazi utasikia yaani wewe umekAa kaa tu sijui ht km unhangaika kutafuta kazi, unadhani kazi zitakufuata.Maneno hayo unamwambia mwanaume ambaye sh kumi hana,ana njaa na stress za kutosha sasa apate kazi endelea na kauli zako za bila mimi uzingefika hapo,nimekuvumilia sana na taka taka nyingine,utapigwa matukio mpk ukome[emoji3525][emoji3525][emoji3525]

Kila utakalo msimanga mwanaume asiye na pesa ujue kbs mwenzako anawaza dharau hizii sababu anaona sina pesa.Ogopa sana hiyo attitude...
 
Zama hizi Ukimkuta mwanaume ana kila kitu, jiulize mara tatu tatu, sio rahisi akuoe, mtapoteza muda halafu atakuja kumuoa mwingine kabisaa...either atakaeolewa ana mchango wa namna fulani kwenye mafanikio ya huyo mwanaume

Ila wanawake inabidi wajifunze at some point, maisha ya kuanza pamoja from the scratch ni maisha mazuri na yana bond kubwa sana,hii bond inaletwa na your love history, ups and downs, better and worse, mvua na jua...na pia yanakua na value kwenu wote wawili yaani kila mmoja anaona thamani ya mwenzake, upendo wa kweli na uvumilivu.

Sasa wanawake wengine anabahatika kumpata mwenye kila kitu, akifika yeye kazi yake ni total destruction kwa huyo mwanaume, hana uchungu hata wa mali aliyoikuta, hawazi namna ya kuendeleza pale mwenzake alipoishia, hana mawazo chanya, zaidi anataka kuweka tamaa kwa sababu ya ubinafsi, ndio maana wanaume wanawaogopa sana wanawake, tena wanaume wengi ambao wamefanikiwa na hawajabahatika kuoa, huwa wanaogopa kuoa sijui kwa nini...labda kwa sababu ya hizi tabia

Wadada kama ukimkuta mwenza amejiandaa kimaisha na amekamilika, jaribu ku add value kwenye ulichokikuta, kithamini na uweke mchango wako, acha ubinafsi na tamaa, heshimu mali ulizozikuta at the end of the day Mwanaume nae atakuona una thamani na mchango kwa namna fulani kweye maisha yake
Umenena vyema sana madame hasa hapo mwishoni. Sio mdada unakuta kila kitu ndio kwanza unaanza mipango ya kumtanguliza mwenye mali zake, unaanza kuchukia ndugu zake wakati hao ndio waliokuwepo kwenye safari yake ya mafanikio plus kutapanya mali na ndugu zako na kuhonga viben ten
 
Somtyms kumkuta mwanaume kajipanga ni shida wengi wao wana vibur maana hukuwepo alipokua akihangaika kutafuta so anaweza kukuchulia poa tu

Lakini pia kuanza maisha na mwanaume akiwa Hana kitu hakufanyi akuthamini Kwa vile nmeanza wote tumeshuhudia wengi wakiumizwa na watu waliotoka nao chini baada ya kufanikiwa
Cha muhimu upendo wa dhati tuu
 
Niliwahi date the guy hakuniambia kama kuna vitu tayari anamiliki, baada ya uhusiano na kwenda nyumbani kwetu ndiyo anaanza kufunguka I have this and this, na akaanza nionyesha vitu vyake, nadhani ndiyo alianza kuniamini lakini ukweli baada ya kujua hayo yote ndiyo nikachukua uamuzi wa kuachana naye..!

Sababu mwanzo nilijua hiyo 'kind ya disrespect' ako nayo sometimes, labda ndivyo alivyo, baada ya kujua alivyo navyo ndiyo akili ikafunguka anhaa' kumbe this is the reason huyu kaka anani treat hivi?? Sababu ana jeuri na 'kibri' cha pesa, nadhani alikuwa anaamini hakuna mwanamke atamuacha, ila mzee hakuamini niliseeeepa mbio nyingi sana japo hadi nyumbani alikuwa anafahamika tayari.!!

Ladies, ni wanaume wachache sana uwakute wana kila kitu na bado wataku treat right, tumeanza from the scratch na my current man na raqha ya kupendwa na kuheshimiwa naiona lol'.!!
Kabisaa...unataka tuamini hii chai...
 
Somtyms kumkuta mwanaume kajipanga ni shida wengi wao wana vibur maana hukuwepo alipokua akihangaika kutafuta so anaweza kukuchulia poa tu

Lakini pia kuanza maisha na mwanaume akiwa Hana kitu hakufanyi akuthamini Kwa vile nmeanza wote tumeshuhudia wengi wakiumizwa na watu waliotoka nao chini baada ya kufanikiwa
Cha muhimu upendo wa dhati tuu
Well said
 
Umenena vyema sana madame hasa hapo mwishoni. Sio mdada unakuta kila kitu ndio kwanza unaanza mipango ya kumtanguliza mwenye mali zake, unaanza kuchukia ndugu zake wakati hao ndio waliokuwepo kwenye safari yake ya mafanikio plus kutapanya mali na ndugu zako na kuhonga viben ten
Word
Na wengi waliokuta mali wameharibu familia za watu, wamechonganisha, halafu mwosho wa siku wamevuna wakaondoka
 
Niliwahi date the guy hakuniambia kama kuna vitu tayari anamiliki, baada ya uhusiano na kwenda nyumbani kwetu ndiyo anaanza kufunguka I have this and this, na akaanza nionyesha vitu vyake, nadhani ndiyo alianza kuniamini lakini ukweli baada ya kujua hayo yote ndiyo nikachukua uamuzi wa kuachana naye!

Sababu mwanzo nilijua hiyo 'kind ya disrespect' ako nayo sometimes, labda ndivyo alivyo, baada ya kujua alivyo navyo ndiyo akili ikafunguka anhaa' kumbe this is the reason huyu kaka anani treat hivi? Sababu ana jeuri na 'kibri' cha pesa, nadhani alikuwa anaamini hakuna mwanamke atamuacha, ila mzee hakuamini niliseeeepa mbio nyingi sana japo hadi nyumbani alikuwa anafahamika tayari.!!

Ladies, ni wanaume wachache sana uwakute wana kila kitu na bado wataku treat right, tumeanza from the scratch na my current man na raqha ya kupendwa na kuheshimiwa naiona lol'.
Safi sana Carleen, yani kama mtu unataka mume, just look for someone ambae mnaweza kuanza maisha pamoja, sio mtu ambae unaende kudandia maisha ambayo alishajenga foundation siku nyingi

Sema wadada wa kibongo hii theory ilishawashinda
 
Tatizo wanawake wengi wa hapa Bongo wako na tamaa kama hii ya Hamisa Mobeto, wanamfuata jamaa kisa ana hela ili awe anazitumia tu pesa na kujianika mitandaoni kuwa kapata. In reality hana any contribution katika maendeleo ya huyo mtu. Siku za nyuma nilikuwa kwenye mahusiano na mwanamke wa dizaini ya Hamisa na Wema, yule mwanamake alijuwa kuwa nina mke na alijitahidi sana kushindana na mke wangu na kutaka nimuache niwe naye yeye.

Najuwa nilifanya kosa kumcheat mke wangu ila haikuwa nia yangu, huyu mwanamke alikuwa kero kwangu, so kwa kifupi nilidhani ningeduu naye angeniacha alone kumbe sivyo. Mdada alikolea penzi na kunipigia simu hata nikimwambia niko na mke wangu anaanza kubwaka, yaani mimi unaniona sifai siyo?

Namwambia wewe na mimi ni marafiki tu huyu ni mke wangu, anakasirika na kuanza kumsaka mke wangu wajilinganishe. Nilikuja kumuacha aliponiambia nimjengee nyumba kama anayoishi mke wangu na nimnunulie gari kama la mke wangu, nikamtalia na kukata line.....Sasa anasema atanikomesha kwanini nimempotezea muda, yaani wanawake kwa kweli mnaboa sometimes.
Ila yeye hajakupotezea muda? nakati kama raha mlikuwa mnapata wote.

Hongera kwa kufanya maamuzi magumu ya kumuacha, lakini mchepuko siyo dili baki njia kuu.

Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app
 
Kuanza pamoja is overrated.

Unaanza nae unakuwa " the woman he can get ", mkipasua anatafuta "the woman he actually wants " [emoji2960][emoji2960] . Wanaume wengi wanasettle na wanawake kupunguza makali ya maisha lakini si kwamba mapenzi ni ya dhati.

Kama Mimi Ni broke or not, kama ningekuwa approached na mtu alietafuta mwenyewe I will know I am the woman he actually wants.
U sound selfish...
 
Niliwahi date the guy hakuniambia kama kuna vitu tayari anamiliki, baada ya uhusiano na kwenda nyumbani kwetu ndiyo anaanza kufunguka I have this and this, na akaanza nionyesha vitu vyake, nadhani ndiyo alianza kuniamini lakini ukweli baada ya kujua hayo yote ndiyo nikachukua uamuzi wa kuachana naye!

Sababu mwanzo nilijua hiyo 'kind ya disrespect' ako nayo sometimes, labda ndivyo alivyo, baada ya kujua alivyo navyo ndiyo akili ikafunguka anhaa' kumbe this is the reason huyu kaka anani treat hivi? Sababu ana jeuri na 'kibri' cha pesa, nadhani alikuwa anaamini hakuna mwanamke atamuacha, ila mzee hakuamini niliseeeepa mbio nyingi sana japo hadi nyumbani alikuwa anafahamika tayari.!!

Ladies, ni wanaume wachache sana uwakute wana kila kitu na bado wataku treat right, tumeanza from the scratch na my current man na raqha ya kupendwa na kuheshimiwa naiona lol'.
Wewe una akili.

Nb
Ukikutana na mwanamke jina lake la kwanza linaishia na leen MF Carlen, Maureen etc hana akili au havutii kwa umbo, hana akili za darasani au za maisha, siyo mpole , hayupo humble please piga simu polisi au Rita atakuwa kafoji jina huyo
 
Mwanamke hajui kubadilisha oil ya gari, hajui kuendesha semi-trailer, hajui kusafisha bunduki, hajui kutegua bomu la nyuklia.... Hajui kupigana na predator.

Huyo mwanamke me wa kazi gani..... Si bora ni bakie pekee yangu.
 
Hajui hata kurusha RPG wa kazi ganiii😂😂😂😂😂
Nimechekaaaa
 
Back
Top Bottom