Ladies, let’s do the real talk...

Ladies, let’s do the real talk...

Mwanamke hajui kubadilisha oil ya gari, hajui kuendesha semi-trailer, hajui kusafisha bunduki, hajui kutegua bomu la nyuklia.... Hajui kupigana na predator.

Huyo mwanamke me wa kazi gani..... Si bora ni bakie pekee yangu.
[emoji16][emoji16][emoji16] daah
 
Kuanza pamoja is overrated.

Unaanza nae unakuwa " the woman he can get ", mkipasua anatafuta "the woman he actually wants " 🤭🤭 . Wanaume wengi wanasettle na wanawake kupunguza makali ya maisha lakini si kwamba mapenzi ni ya dhati.

Kama Mimi Ni broke or not, kama ningekuwa approached na mtu alietafuta mwenyewe I will know I am the woman he actually wants.

Upo vizuri
Uzi uishie hapa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tatizo wanawake wengi wa hapa Bongo wako na tamaa kama hii ya Hamisa Mobeto, wanamfuata jamaa kisa ana hela ili awe anazitumia tu pesa na kujianika mitandaoni kuwa kapata. In reality hana any contribution katika maendeleo ya huyo mtu. Siku za nyuma nilikuwa kwenye mahusiano na mwanamke wa dizaini ya Hamisa na Wema, yule mwanamake alijuwa kuwa nina mke na alijitahidi sana kushindana na mke wangu na kutaka nimuache niwe naye yeye.

Najuwa nilifanya kosa kumcheat mke wangu ila haikuwa nia yangu, huyu mwanamke alikuwa kero kwangu, so kwa kifupi nilidhani ningeduu naye angeniacha alone kumbe sivyo. Mdada alikolea penzi na kunipigia simu hata nikimwambia niko na mke wangu anaanza kubwaka, yaani mimi unaniona sifai siyo?

Namwambia wewe na mimi ni marafiki tu huyu ni mke wangu, anakasirika na kuanza kumsaka mke wangu wajilinganishe. Nilikuja kumuacha aliponiambia nimjengee nyumba kama anayoishi mke wangu na nimnunulie gari kama la mke wangu, nikamtalia na kukata line.....Sasa anasema atanikomesha kwanini nimempotezea muda, yaani wanawake kwa kweli mnaboa sometimes.
 
Haha stereotypes kila sehemu..kila watu wana level zao

Hamna mwanaume mwenye akili timamu anayefurahia mizinga/invoices...navojua nobody likes to be used
Kwa hiyo wa chini tutafutane wenyewe, wa juu waendelee kivyao. Mbona maisha hayana fairness kiasi hicho.
 
Tutaannzia hapohapo. Contributions zangu ni nyingi ntazaa ntalea watoto ntafua yani all kind of staff ndani ntafanya. Nadhani anahitaji zaidi hili kuliko mali alizonazo maana kuzaa hawezi bila mwanamke.
Umejibu kisiasa mkuu. Kama hajatulia utakuta kashazaa na wenzio, kufua atakuwa na mashine, kupika atakuwa na house helper. Wewe utakwenda ku add values gani kwenye maisha yake?. Remember kuna a lot of human beings, but not valuable ones.
 
Tatizo wanawake wengi wa hapa Bongo wako na tamaa kama hii ya Hamisa Mobeto, wanamfuata jamaa kisa ana hela ili awe anazitumia tu pesa na kujianika mitandaoni kuwa kapata. In reality hana any contribution katika maendeleo ya huyo mtu. Siku za nyuma nilikuwa kwenye mahusiano na mwanamke wa dizaini ya Hamisa na Wema, yule mwanamake alijuwa kuwa nina mke na alijitahidi sana kushindana na mke wangu na kutaka nimuache niwe naye yeye.

Najuwa nilifanya kosa kumcheat mke wangu ila haikuwa nia yangu, huyu mwanamke alikuwa kero kwangu, so kwa kifupi nilidhani ningeduu naye angeniacha alone kumbe sivyo. Mdada alikolea penzi na kunipigia simu hata nikimwambia niko na mke wangu anaanza kubwaka, yaani mimi unaniona sifai siyo?

Namwambia wewe na mimi ni marafiki tu huyu ni mke wangu, anakasirika na kuanza kumsaka mke wangu wajilinganishe. Nilikuja kumuacha aliponiambia nimjengee nyumba kama anayoishi mke wangu na nimnunulie gari kama la mke wangu, nikamtalia na kukata line.....Sasa anasema atanikomesha kwanini nimempotezea muda, yaani wanawake kwa kweli mnaboa sometimes.
Ha ha ha, uliuvaa mkenge.
 
Kuanza pamoja is overrated.

Unaanza nae unakuwa " the woman he can get ", mkipasua anatafuta "the woman he actually wants " [emoji2960][emoji2960] . Wanaume wengi wanasettle na wanawake kupunguza makali ya maisha lakini si kwamba mapenzi ni ya dhati.

Kama Mimi Ni broke or not, kama ningekuwa approached na mtu alietafuta mwenyewe I will know I am the woman he actually wants.
Usikariri sisi hua akili zetu tunazijua wenyewe

Amini. Kwamba Nina kila kitu na uchumi mzuri naweza kukutongoza kwa ajili ya kukutumia pia sio kwamba you are the one I want ..of course ni kweli nakuhitaji ktk matumizi [emoji23]

Halafu sikufichi huu ni ukweli Mara nyingi hawa member wa jinsia yangu tukikamilika ktk kila kitu namaanisha tumejijenga vizuri kiuchumi tuko vzr halafu tumeanza wenyewe from the scratch... huwa mwanamke hatubabsishi so lazima ego,..disrespect iwepo kama Dada Carlen alivyosema hapo juu maana tunakuwa na ile mentality

Kila anaetupenda ni mwindaji hana lolote

Na huo ndo ukwel mchungu .bora kutafuta MTU wa level yako
 
Kuanza pamoja is overrated.

Unaanza nae unakuwa " the woman he can get ", mkipasua anatafuta "the woman he actually wants " 🤭🤭 . Wanaume wengi wanasettle na wanawake kupunguza makali ya maisha lakini si kwamba mapenzi ni ya dhati.

Kama Mimi Ni broke or not, kama ningekuwa approached na mtu alietafuta mwenyewe I will know I am the woman he actually wants.
Ha ha ha, eti you'll know ur the woman he wants, to add which values?. Wadada wengi ni liability wa kutupa, wengi hata ku maintain hizo mali hawawezi zaidi ya kutafuna tu.
 
Hehehe sasa Kuna wanaume ata Mali bado hawana lkn anavo kutreat kama anakufanyia hisani kuwa nae na hapo ata kazi hana nawaza tu upepo wa pesa ukimpitia cjui itakuwaje, apo akishika tu 50 anabadilika sasa akishika millions of money.
Na bado kuna mtu anamvumilia anajisemea moyoni mwake "kuna siku atabadilika tuu"
 
mmmh yani huu uzi umenishangaza, na mawazo kama haya ndo yameleta wanaume marioo, wasiotaka kufanya kazi ndio mana wadada wengi dunia ya leo unakuta mtu anajitolea hadi mahari aolewe, mwingine anaishi na mwanume lakini mwanaume hela yake ni pombe na wanawake hajui kodi ya nyumba wala watoto wanakula nini, huwa najiuliza mtu anawezaje kuishi na mwanaume wa namna hii, ila sasa nimeanza kupata majibu. Tunasahau kwamba kiasili mwanaume ameumbwa kutafuta, mimi kazi yangu kuzaa na kutunza familia, kuchangia kwangu ni ziada tu so mimi kama mwanamke kuwa nacho au kutokuwa nacho haitakiwi kuwa sababu kabisa kwenye mahusiano, na kiukweli naishukuru hiyo mentality manake mimi mwanaume ambae hana kitu nilikuwa simtaki, na nimeolewa na aina ya mwanaume nilikuwa namtaka na kaka wa watu wala hajui hata mshahara wangu na huwa haulizi, sio kama sichangii chochote lakini nachangia kwa kupenda kwangu vile nnavyojisikia. Mama zetu waliolewa enzi hizo na wanaume wenye pesa au hata wenye maisha ya kawaida tu wao wakiwa hawajasoma wala hawana kazi, auunakuta ana kazi lakini akiolewa tu anaambiwa acha kazi na waliishi maisha mazuri sana, mana the purpose was clear kazi ya mwanaume na mwanamke ilikuwa very clear kwenye ndoa, lakini wanawake wa sasa mnayakaribisha matatizo wenyewe, eti mkatafute wote kheeeeeeeeeee
 
Back
Top Bottom