Ladies mliopo Dodoma...

Kuku wa kuchora hadi nimebakiza...
paja hilooooo

Pale mjini kati mbele mbele ya bima kuna muke mmoja wa muitaliano anauza maakuli ya kiitaliano,,,,,,,,,, uwe unapita pita

hapo kusafisha kiwi cha utumbo.........
 
Mkuu, kuanzia tarehe 18 February roho yako itaburudika sana. Kama 2000 hivi wanaelekea huko kushuhudia bunge la katiba kwa hiyo utapatiamo humo.
 
Mkuu, kuanzia tarehe 18 February roho yako itaburudika sana. Kama 2000 hivi wanaelekea huko kushuhudia bunge la katiba kwa hiyo utapatiamo humo.

Mmmmh una yako...
 
Pale mjini kati mbele mbele ya bima kuna muke mmoja wa muitaliano anauza maakuli ya kiitaliano,,,,,,,,,, uwe unapita pita

hapo kusafisha kiwi cha utumbo.........

nikifika napewa menu hata siielewi bora ungekuwepo unisaidie
 
mama mwenyewe ni mswahili , utaeleweshana naye kiswahili...........

next week nikija huko nitakupeleka ukapige mambo ya kiitaliano...........

Mi naogopaga mashikolo naweza kula tumbo likavurugika nikageuka bata....
 
Nimechoka kula michembe, nna hamu na zabibu
nimechoka kunywa balimi nna hamu na dompo....

sasa, ulitakiwa usafiri angalau mpaka bihawana kule ndo kuna zabibu taaamu na wine za kumwaga!

dom sometimes is my home... zabibu zimechangia sana kuniongezea urefu wa ....!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…