asakuta same
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 14,829
- 5,035
Nlikuwa by road nakula paja la kuku na chips kavu.
lilikuwa kuku la kuchora au kawaida tu??????????
nimemiss kuku wa dom.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nlikuwa by road nakula paja la kuku na chips kavu.
Unaijua vizuri kazi yangu sa sita tu nishafunga office.
Kuku wa kuchora hadi nimebakiza...lilikuwa kuku la kuchora au kawaida tu??????????
nimemiss kuku wa dom.
btw, kilichokupeleka do ni niini we mwanamke?
mmmh!!!
Kuku wa kuchora hadi nimebakiza...
paja hilooooo
Nimekuja kujenga nchi teh!
Muda mrefu naboreka sana kwa kukosa kampan....
nilizoea sana kampani za wanafunzi wenzangu nilipokuwa nasoma, yani tangu nimalize kusoma sina marafiki wa kutembeleana nao, kutoka wala kuzurura, shemeji yenu yupo mbali ndo nachoka kabisa
Nahitaji marafiki asee, ladies mliopo dom tuwasiliane plz hobby yangu ni kuzurura
men sijawatenga nyie tutakutana hapa hapa...
Mkuu, kuanzia tarehe 18 February roho yako itaburudika sana. Kama 2000 hivi wanaelekea huko kushuhudia bunge la katiba kwa hiyo utapatiamo humo.
hapana!!!:nono:
Pale mjini kati mbele mbele ya bima kuna muke mmoja wa muitaliano anauza maakuli ya kiitaliano,,,,,,,,,, uwe unapita pita
hapo kusafisha kiwi cha utumbo.........
kazi baada ya kazi ya msingi............
Nakuwa free labda nianze kufundisha tuisheni
nikifika napewa menu hata siielewi bora ungekuwepo unisaidie
He he he naona unataka kunipa tuhuma sasa
bado nna wac wac!
kweli ni ww Ev.sa nnae kufaham?
mama mwenyewe ni mswahili , utaeleweshana naye kiswahili...........
next week nikija huko nitakupeleka ukapige mambo ya kiitaliano...........
fungua biashara......km vile duka , au saloon n.k
Nimechoka kula michembe, nna hamu na zabibu
nimechoka kunywa balimi nna hamu na dompo....
sasa, ulitakiwa usafiri angalau mpaka bihawana kule ndo kuna zabibu taaamu na wine za kumwaga!
dom sometimes is my home... zabibu zimechangia sana kuniongezea urefu wa ....!
Mi mwenyewe nataka ziniongezee......na.......