Ladies tajeni Wanaume mnaovutiwa nao humu JF

Ladies tajeni Wanaume mnaovutiwa nao humu JF

Wee fifi taratiiibu ulituachanisha wewe?? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mimi ndo mwenyewe official humu hakunaga mwingine [emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23] mbavu zinaniuma kwa kucheka jamani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Popo usinifanyie hivyo unataka niendelee kuoga na kopo?😁😁 Hao vijana wenu mnawaweza nyie, mimi navutwa vutwa na cultured man flan, liwalo na liwe Certified Hater
🤣🤣🤣🤣Unataka mambo ya bathtub na mishower gel au sio?ukitoka hapo unaenda kulala sio kujiegesha?safiiii sana hongera bwana Certified Hater
 
Kaka kelphin ameshaclear Hali ya hewa,Yuko single and ready to mingle....just play your card
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tatizo nshawahiwa, ila JF jamaniiii.
Una swampaaa jukwaan na fudengee, unaenda kuliwa chombo na fidodidoo.
Woiiiiiiih
 
Mbona ww extro hajatajwa wizo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wamtaje beibyy wangu hawajitaki?? Hawaogopi?? Uzi utafungwa huu hilo mbungi nitakalolianzisha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguu acha vitishoo.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tatizo nshawahiwa, ila JF jamaniiii.
Una swampaaa jukwaan na fudengee, unaenda kuliwa chombo na fidodidoo.
Woiiiiiiih
Kwa hiyo fidodido hap anakuzoom tu😁?hasikii wivu?
 
Ni vile tu unachuki nami ila mm naheshim sana wanawake. I know their values
Sasa hiyo chuki itoke wapi wewe ni mara ngapi nilishakuambia kwamba uko smart upstairs na huwa nakukubali, mimi siwezi kumsifia mtu kama simkubali huo unafiki sina na nikimkubali mtu huwa nampa maua yake, ila tu kuna comments huwa unazitoa kuhusu wanawake mpaka huwa najiuliza huyu ni wewe kweli maana hata mi nilikuwa sijakuzoea hivyo..sema basi tu nazisahaugi hizo nyuzi ila ningezitafuta nikuoneshe!!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] limeisha shem coca wako kazi kwako umfungue kwa opena au meno ni wewe tyuuuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguu, kwann lakiniiii?
 
Back
Top Bottom