Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Oya muda wa kulala huu, kaa na mane yakoππMi nasema ukweli π€£π€£π€£
Nawajua kwa id zao ila sio km mashemeji zangu π€£π€£π€£π€£We huwajui hao?mbona maarufu sana?
Tuko kuwanga nchi jirani ndio kwanza kweupeeeee π€£π€£π€£π€£Oya muda wa kulala huu, kaa na mane yakoππ
Basi baridi, ila mention 3, ngoja nika ongeeni na mwanga wanguππ€£Tuko kuwanga nchi jirani ndio kwanza kweupeeeee π€£π€£π€£π€£
Tatizo watanzania wakikuona uko macho wanajua ni usiku hawajui watu tuna different area codeππππTuko kuwanga nchi jirani ndio kwanza kweupeeeee π€£π€£π€£π€£
BaelezeePopo si umtaje tu consitable mwenzio Vincenzo Jr liwalo na liweπ
shekhe Intel ππoyaa chalii mbavu zanguπ, hiyo astaghafirullahπ€£ππ
Nini haiombwi tena?πππ umetisha hapo kwa sisi wanaume
Sema mkuu haiombwi hivyo π€£
Ni Evelyn SaltYeye anataka huko aliko umtaje hapa isijekuwa wako wengi
Namtaka yeye tu.. trust me.Wakimuiba mimi nipo nitakuiba na wewe ππ
Kakutosa aiseeeπ’π’Baelezee
Ndo majina yao mkuu hayoHao wahusika ebu wataje tuone kwa majina yao halisi π ikiwezekana na picha zao π©
Mwanamumeπππππππ
Mim mwanaume au mwanamume.
Kanitelekeza ππKakutosa aiseeeπ’π’
ππππPole, subiri Utampata wako tuKanitelekeza ππ
Asante sanaππππPole, subiri Utampata wako tu
Sawaaaa π πHauna π€£π€£π€£π€£