Analyse
JF-Expert Member
- Jan 19, 2014
- 17,637
- 47,413
Wewe ndio shetani, na ukaleta mambo yako kwenye himaya yangu. Matokeo yake umenifukuzia warembo wangu wote kwa mpigo. Ila watarudi tu 😅😂Mnanifurahisha nyie kwa muungano wenu wa kumkataa shetani na mambo yake yote 🤣🤣🤣🤣🤣