Ladies Talk: Kufuatia kisa cha Mbuta Nanga

Humu JF mwanaume anakufuata DM eti anaomba hela,hapo anakuambia yupo ndani kwake anaangalia bunge.Kweli mwanaume unashinda ndani kuangalia bunge?Si bora utoke nje ukabebe hata zege jamani.
Maisha kusaidiana kuna muda michongo inakataaa.

Hao wakukaa ndani kutofanya Kazi hapana kabisa hawastaili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…