Ladies Talk: Kufuatia kisa cha Mbuta Nanga

Ladies Talk: Kufuatia kisa cha Mbuta Nanga

Nimeshasema am soooo lucky ninapata kitu for freee ikiwa watu wengine wanautoa ela ndo wanapewa......
Na watoto nimepewa na mtaji nimepewa na Bado natunzwa...
Kuanzia Leo nitamuheshimu sana mume wangu....
Kumbe utamu watu wanalipia...nilikua namchukulia poa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bipolar yule,ndo shangaa na wewe.Yule ni mjinga.Kwanza hata kupulish transactions ambazo alikuwa anamtumia Bwana yake ni ujinga tu.Si alimtumia kiroho safi ?Kwa nini analalamika?Hilo la ushoga itakuwa anamsingizia tu.
Ananishangaza at the same time namuonea huruma,,hivi hakujua huyo jamaa anataka tu pesa zake kuanzia mwanzo WA mchezo?
Mwanzo tu mtu anakuomba pesa hapo hapo unatakiwa uangalie namna ingine kama huwezi hayo maswala.....
 
Ndio maana tuliambiwa tuishi nao Kwa akili usishangae mwanamke akakupenda coz unaprovide lakini wao hawanaga uvumilivu ukikosa au ukiwa huna hawezi kukupenda tena atakutafutia sababu tu
Hawa ndio walivyo ni wabinafsi sana. Wee wala usiumize kichwa as long as kidume una hela basi nikusasambua mbususu zao maana uzuri wanaziletaga wenyewe 🤣🤣🤣🤣
 
Yaani mimi kutumia tu hela yangu kwa matumizi yangu naona naumia.

Je, Kwa kumtafutia viza, kumsafirisha mpaka London mtoto wa mama mkwe, kufunga nae harusi, kumlea na kumsomeshea mwanae uliyemkuta nae kwa pesa yako..... eeeh watu kuweza.

Sometimes naona hata sio suala la uzuri au age imeenda yaani Kuna kitu naona kama kimekua trend huu moyo wanawake wenzetu wanautoa wapi? Umchukue tu kijana umleee? In exchange of what?

Watu wanamsema mbuta nanga oooh age imeenda hana uzuri embu niambieni tu hii list ya macelebs;
1. Zari
2. Shishi
3.Aunt Ezekiel
4. Rihama Ally (Sina uhakika na jina
5. Sepetu
6. Uwoya na mtoto wa Jack Pemba, Dogo janja
7. Wolper

Hawa ni wazuri na bado umri uko vizuri wanapata nini Kwa hawa Mariooo
na huu moyo wa kipekee wa kulea hawa viumbe wanautoa wapi?
Hawa wadangaji wakati wa ujana wao wanakitombesha,wanakula raha na luxury mbalimbali.Ila sasa umri huwaga haumsubiri mtu, so wanaanza kuchuja wale madanga ambao wanategemea kuwaoa,wanahamia kwa mabinti wabichi.

Baada ya hapo wanacho kuja kugundua kwamba vyote walivyo vipigania ni batili na furaha ya kweli ipo kwenye ndoa. Sasa ndio wanaanza kuigiza kutulia ila still watu wanapiga wanatambaa,so anaamua kukitafuta kimarioo cha kukilea.

Hata hawa wadangaji wanao trend sasa mwisho wao utakuwa kama wa hao ulio wataja.
 
Hawa ndio walivyo ni wabinafsi sana. Wee wala usiumize kichwa as long as kidume una hela basi nikusasambua mbususu zao maana uzuri wanaziletaga wenyewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Waongo sana pia wanajua sana kucheza na hisia mfano huyo anayesema hawezi kuhonga anaonekana janjajanja sana anajifanya kumpenda mumewe simple tu kwa sababu anaprovide ila ngoja jamaa alost utakuta hawamalizi hata miezi sita atamchoka mskaji
 
Waongo sana pia wanajua sana kucheza na hisia mfano huyo anayesema hawezi kuhonga anaonekana janjajanja sana anajifanya kumpenda mumewe simple tu kwa sababu anaprovide ila ngoja jamaa alost utakuta hawamalizi hata miezi sita atamchoka mskaji
Hilo wala sio la kuuliza, ukifulia kidume ujue hamna chako, mie nilifulia nikaambiawa huna mbele wala nyuma kama mche wa sabuni 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Waongo sana pia wanajua sana kucheza na hisia mfano huyo anayesema hawezi kuhonga anaonekana janjajanja sana anajifanya kumpenda mumewe simple tu kwa sababu anaprovide ila ngoja jamaa alost utakuta hawamalizi hata miezi sita atamchoka mskaji
Sawa Msaididizi WA Mungu...
Maana naona unajua future za watu
 
Hilo wala sio la kuuliza, ukifulia kidume ujue hamna chako, mie nilifulia nikaambiawa huna mbele wala nyuma kama mche wa sabuni [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wabinafsi sana alafu wanataka 50/50, Sasa nusu kwa nusu inatokea wapi kama upande mmoja hautaki kuwajibika?
 
Mimi kwanza mwanaume akiniomba hela tu,baasi .Yaani ninamuona kama mavi.Hao wanawake wanaohonga ni Nye ge tu zinawasumbua,basi na vile vijana wanajituma kwenye 6 ×6 ,baasi wanawake wanadata kabisa.
Mpaka kuombwa hela na mwanaume ujue unazo. Ukiona huombwi ina maanisha ni kapuku.

Na hao wanaohonga ina maanisha wanazo pia ni sawa sawa na mizee ya kiume inayohonga vitoto vya kike vidogo.

it all comes down to swala la uwezo, wasiokuwa nazo ndio wanaojadili sana ya wenzao.
 
Kama umekeketwa huwezi kutoa maana vijana wa hovyo watasugua nini sasa na kiharage hakipo. #utani.

Kuna watu wanachukulia mapenzi serious mno mkuu, yaani wewe usiefanya hayo utabaki mdomo wazi waaah.

Fikiria mtu hali ili amlipie ada mpenz wake, kuna jamaa kaleta uzi umu ni dereva bajaji alitaka kwenda kuoa sasa hela ya mahali akaitupia kulipia uharibu. Si ajabu na yeye akakopa kausha damu ili tu aoe... ndo ivo sio wote huwaza kama unavyowaza wewe.

Raha ambazo wewe unazipata/unataka kuzipata ukiwa na pesa huyo Mbutu huenda ashazifanya sana ila kua na mwanaume anaemjali ndo hajawahi.
 
Mwanaume atakayekula hela yangu ni ambae amekua akinisaidia kifedha kisha itokee mambo yake yaende vibaya.
Sio umetoka huko na sharubu zako ulete swaga za mim kukulea.

Kusaidiana imo ila kiasili mwanaume ndo anatakiwa awe muhudumiaji.

Hata mwanamke uwe tajiri vipi ila mwanaume wako akikupa hata buku kuna karaha fulani wanawake tunapata.

Hivi mwanaume anaweza kweli kusimama kiume akamfokea mwanamke anayemlea?

Bora kulea yatima kuliko kulea dume lenye nguvu kuliko mimi.
 
Back
Top Bottom