Ladies understand your men (Wadada tu, wanaume marufuku)

Mimi ni mwanamke ila ukweli kutoka ndani ya moyo wangu sipendi wanawake wenye tabia ya kuomba pesa kwa wenzi wao.... Kwani yeye haoni umuhimu wa kukupa mpaka uombe?

'Wanawake na maendeleo tufanye kazi, tusonge mbele'

Big up mdada, waambie maana wanakera sana na hawasomi alama za nyakati
 
Pole sana Koku,

Ila wewe (may be na wenzako), kama unaenda gengeni kununua kitumbua badala yake ukafungiwa andazi huwezi kustuka???

Siamini kama kuna watu wanakuwa naive kiasi hicho!!

Weee D. Wewe acha tu. People knows to pretend bwana na kuhide their true colours.
Ningeweza kukupa full story may be ungenielewa. But let us leave PIE as PIE.
But in reality wanaume mnatuumiza sana kimapenzi
 
Pole tena Koku,

Tatizo ni kwamba, swala anapouawa na simba ili awe kitoweo lazima aumie. Ni jukumu la swala kuhakikisha anakwepa kuingia kwenye mitego ya simba...Anakurupushwa pia anakuwa na nafasi nyingine ya kujiokoa kwa kutimua mbio...Kinyume cha hayo inabaki hadithi kwamba hapo awali alikuwepo swala!!

Kwa hiyo kuumia kwa wanawake sometime siyo kosa la wanaume...These guys are hunters....Sasa wafanye nini?

Hope umenielewa hapo!!
 
Truth is that nimewah kukutana na wa hvyo wengii, lakini kamwe sikuwah kuthubutu kuwapa tunda lango ng'o. Huyo aliyenitenda ilimchukua muda sana sana kwanza kuomba mzigo, pili kupewa huo mzigo. Satisfied Mama?
 
Nimekuelewa Dark. Hata hivyo i will never never fall in love again. NEVER. So I will never bi the victim of hunters as you people call them.
I learned my lesson.
 
Nimekuelewa Dark. Hata hivyo i will never never fall in love again. NEVER. So I will never bi the victim of hunters as you people call them.
I learned my lesson.

Koku mdogo wangu tema mate chini na umwambie Mungu wako ni hasira ndio imekupelekea kutoa maneno yote ya hasira ila kikubwa ni kuwa unamuachia yeye Muumba akupatie yule anaestahili penzi lako na wewe ukalifaidi penzi lake. Hicho kidudu mtu kimoja kisikufanye ukose kuona raha ya mapenzi banaaa.....wakati ww unaongea haya mwenzio anachekelea kuwa amekuweza!hapana kumpa hilo bichwa aiseee ntakuchapa!
 
Nimekuelewa Dark. Hata hivyo i will never never fall in love again. NEVER. So I will never bi the victim of hunters as you people call them.
I learned my lesson.

Koku, Koku mdogo wangu....usijiapize mbele ya mbingu na nchi tena kwa maneno mazito mazito kama hayo......

Kwetu sie wenye uzoefu, tunajua kuwa karibia kila mwanamke akito labour room huapa kwamba hatarudia tena kitu hicho......Je huwa wanaacha kweli???......

Naona unahitaji canselling kwa sababu hayo yaliyokutoa hayawezi kufanga chapters zote za kitabu chako.....Haiwezekani kabisa...Msahau huyo na kumwona hana maana ili uwape nafasi wenye maana...But play safely!!

Hapa sasa umeongea kama mama, tena jimama la ukweli.....Usisahau kuhakikisha Tuli anapata hii dozi!!

Babu DC!!
 
Truth is that nimewah kukutana na wa hvyo wengii, lakini kamwe sikuwah kuthubutu kuwapa tunda lango ng'o. Huyo aliyenitenda ilimchukua muda sana sana kwanza kuomba mzigo, pili kupewa huo mzigo. Satisfied Mama?

Mmhhh hapa umenipa utata. Sasa huoni kwamba ww ndo utakua chanzo cha tatizo na sio yeye???!! Kwa maneno yako hapo ina maana kuna vitu ulikua unafanya ikapelekea jamaa kuchelewa kuomba tunda na on top of that alipoliomba lile tunda ukachelewa sana kumpa......ili yy akapewe na nani,dada yake??? Mm naona haukua tayari na commitment ni bora ungetuliza ball tu mpaka kichwa yako iwe tayari kutoa dudu lol
 
Duuuuuuuuuuuuuu,

Haya maneno mengine bwana......!!!
 
Hapan' sha'ka! Najua ni ngumu kumpa darasa tamu kama hili ila nitajitahidi sio kama hawa madume wangu nitawafundisha barabara jinsi ya kuwaheshimu wanawake.
 
Hapan' sha'ka! Najua ni ngumu kumpa darasa tamu kama hili ila nitajitahidi sio kama hawa madume wangu nitawafundisha barabara jinsi ya kuwaheshimu wanawake.

Hii dunia....we acha tu,

Halafu ukiingiza na haya maisha ya maigizo ambayo vijana walishwa kila dakika kutokea kila pembe inakuwa kazi kweli kweli....Yaani kuwa mzazi sasa hivi ni pasua kichwa na especially kwa hawa teen!!
 
Vp tena mzee mwenzangu?nimekukwaza?

Hapana Mama Tuli,

Unajua haya maneno tumezoea kuyatumia na watoto...Sasa inafurahisha kuona kuwa kumbe tunaenda nayo hadi uzeeni!!

Tuendelee tu kupeana uzoefu wa kuwasaidia wajukuu ili wajue jinsi ya kutunza matunda yao....otherwise yatachacha bure na sie tukose vitukuu!!

Babu DC!!
 
Hii dunia....we acha tu,

Halafu ukiingiza na haya maisha ya maigizo ambayo vijana walishwa kila dakika kutokea kila pembe inakuwa kazi kweli kweli....Yaani kuwa mzazi sasa hivi ni pasua kichwa na especially kwa hawa teen!!

Mkuu achaaa ni nomaaaa mm nawashukuru wazazi wangu sana aiseee kumbe kulea ndo issue namna hiii.....nikumuomba Mungu tu vinginevyo haya maisha yalivyobadilika na kina Cameroon ndo hao wamekuja juu! Mungu atuepushie watoto wetu wa kiume.
 
Tabia mbaya hiyo ujue....
 
Koku nisamehe kama nitakua sijakuelewa,nieleweshe tafadhali. Unapoongelea
makubaliano ya awali mliahidiana nn kuhusu ndoa,hivi kweli inawezekana mkaanza tu mahusiano na kuanza kuwekeana makubaliano ya ndoa???
good question.Nnachojua mimi mnalalana kwanza mengine baadae,au vipi mamaT?
 
Mkuu achaaa ni nomaaaa mm nawashukuru wazazi wangu sana aiseee kumbe kulea ndo issue namna hiii.....nikumuomba Mungu tu vinginevyo haya maisha yalivyobadilika na kina Cameroon ndo hao wamekuja juu! Mungu atuepushie watoto wetu wa kiume.

Hao ndo usiwaongelee kabisa!!

Unajua haya mambo ya watoto wa kike tumeyazoea...hakuna geni. Ila kwa hawa wa kiume na haya mambo ya kishetani ambayo kwa wengi wetu ni mageni...ni hatari sana!! Yaani wakati watoto wanaendelea kuharibika...wazazi hawajui la kufanya kwa sababu ndo kwanza wanajitahidi kuelewa ya mageuzi!!

Issue ya watoto wa kiume kwa sasa ni hatari kuliko hata hayo mambo ya nuclear ya Iran....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…