Dark City
JF-Expert Member
- Oct 18, 2008
- 16,253
- 11,626
Ahsante Hus. Malimwengu
Pole ila usirudie kugawa moyo wako hovyo hovyo...anza kwa kugawa vipande vipande tena baada ya kufanya vetting ya kutosha.
Sawa Koku????!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahsante Hus. Malimwengu
Mimi ni mwanamke ila ukweli kutoka ndani ya moyo wangu sipendi wanawake wenye tabia ya kuomba pesa kwa wenzi wao.... Kwani yeye haoni umuhimu wa kukupa mpaka uombe?
'Wanawake na maendeleo tufanye kazi, tusonge mbele'
Pole sana Koku,
Ila wewe (may be na wenzako), kama unaenda gengeni kununua kitumbua badala yake ukafungiwa andazi huwezi kustuka???
Siamini kama kuna watu wanakuwa naive kiasi hicho!!
Weee D. Wewe acha tu. People knows to pretend bwana na kuhide their true colours.
Ningeweza kukupa full story may be ungenielewa. But let us leave PIE as PIE.
But in reality wanaume mnatuumiza sana kimapenzi
Koku pole sana. I have a very simple question for u.....umetoka ukakutana na jamaa mkazimikiana(sort of)mkabadilishan no za cm mkaanza mawasiliano. Siku ya siku jamaa akakwambia anakutamani toka alipokuona siku ya kwanza na angependa mkale tunda lkn baada ya hapo no strings attached! Je,ww Koku utakubali??? Tatizo letu kubwa wanawake(sio wote) tukiambiwa UKWELI inatusumbua sanaaa na hatutaki kuukubali,ndo mana wanaume nao wanaona bora watudanganye tu.
Nimekuelewa Dark. Hata hivyo i will never never fall in love again. NEVER. So I will never bi the victim of hunters as you people call them.
I learned my lesson.
Nimekuelewa Dark. Hata hivyo i will never never fall in love again. NEVER. So I will never bi the victim of hunters as you people call them.
I learned my lesson.
Koku mdogo wangu tema mate chini na umwambie Mungu wako ni hasira ndio imekupelekea kutoa maneno yote ya hasira ila kikubwa ni kuwa unamuachia yeye Muumba akupatie yule anaestahili penzi lako na wewe ukalifaidi penzi lake. Hicho kidudu mtu kimoja kisikufanye ukose kuona raha ya mapenzi banaaa.....wakati ww unaongea haya mwenzio anachekelea kuwa amekuweza!hapana kumpa hilo bichwa aiseee ntakuchapa!
Truth is that nimewah kukutana na wa hvyo wengii, lakini kamwe sikuwah kuthubutu kuwapa tunda lango ng'o. Huyo aliyenitenda ilimchukua muda sana sana kwanza kuomba mzigo, pili kupewa huo mzigo. Satisfied Mama?
Mmhhh hapa umenipa utata. Sasa huoni kwamba ww ndo utakua chanzo cha tatizo na sio yeye???!! Kwa maneno yako hapo ina maana kuna vitu ulikua unafanya ikapelekea jamaa kuchelewa kuomba tunda na on top of that alipoliomba lile tunda ukachelewa sana kumpa......ili yy akapewe na nani,dada yake??? Mm naona haukua tayari na commitment ni bora ungetuliza ball tu mpaka kichwa yako iwe tayari kutoa dudu lol
Koku, Koku mdogo wangu....usijiapize mbele ya mbingu na nchi tena kwa maneno mazito mazito kama hayo......
Kwetu sie wenye uzoefu, tunajua kuwa karibia kila mwanamke akito labour room huapa kwamba hatarudia tena kitu hicho......Je huwa wanaacha kweli???......
Naona unahitaji canselling kwa sababu hayo yaliyokutoa hayawezi kufanga chapters zote za kitabu chako.....Haiwezekani kabisa...Msahau huyo na kumwona hana maana ili uwape nafasi wenye maana...But play safely!!
Hapa sasa umeongea kama mama, tena jimama la ukweli.....Usisahau kuhakikisha Tuli anapata hii dozi!!
Babu DC!!
Hapan' sha'ka! Najua ni ngumu kumpa darasa tamu kama hili ila nitajitahidi sio kama hawa madume wangu nitawafundisha barabara jinsi ya kuwaheshimu wanawake.
Duuuuuuuuuuuuuu,
Haya maneno mengine bwana......!!!
Vp tena mzee mwenzangu?nimekukwaza?
Hii dunia....we acha tu,
Halafu ukiingiza na haya maisha ya maigizo ambayo vijana walishwa kila dakika kutokea kila pembe inakuwa kazi kweli kweli....Yaani kuwa mzazi sasa hivi ni pasua kichwa na especially kwa hawa teen!!
Mkuu achaaa ni nomaaaa mm nawashukuru wazazi wangu sana aiseee kumbe kulea ndo issue namna hiii.....nikumuomba Mungu tu vinginevyo haya maisha yalivyobadilika na kina Cameroon ndo hao wamekuja juu! Mungu atuepushie watoto wetu wa kiume.
good question.Nnachojua mimi mnalalana kwanza mengine baadae,au vipi mamaT?Koku nisamehe kama nitakua sijakuelewa,nieleweshe tafadhali. Unapoongelea
makubaliano ya awali mliahidiana nn kuhusu ndoa,hivi kweli inawezekana mkaanza tu mahusiano na kuanza kuwekeana makubaliano ya ndoa???
Mkuu achaaa ni nomaaaa mm nawashukuru wazazi wangu sana aiseee kumbe kulea ndo issue namna hiii.....nikumuomba Mungu tu vinginevyo haya maisha yalivyobadilika na kina Cameroon ndo hao wamekuja juu! Mungu atuepushie watoto wetu wa kiume.
duh! Naomba nisikujibu.
wale kina nani?Ee bwana eee.....wewe ndio waleeeeee