Ladies understand your men (Wadada tu, wanaume marufuku)


Mama unanioneaa.
Sikuwa na maana mbaya, na nilikuwa na commitment ya hali ya juu, hta yeye analijua hilo.
Siyo siri tulifurahiana sana, na kika mtu alikuwa mtaalam kweli kweli ktk ishu. Labda ndo mana nikawa blind totally ndo maana mwisho wa siku ikala kwangu.
Damn hiim
 
nilipoliona tu kwa mara ya kwanza nikasema mmh....huyu kweli lazima ana sifa hizo walau kwa mtizamo wa jamii kiasi cha kujiita ivo. Ina maana YU, Yolanda,Rays, Ashanti n, hujawau kutumia?

Sijawahi, mimi nikinawa na kuoga tu basi inatosha.....,nywele nazo nanyoa ... niko natural kwa kweli! so by nature mie mrembo tu,
 


Koku,

Sasa unaanza kuongea kama mdada na si mtoto...Actuallly, unakariibia umama....Yaani unaanza kuelewa kwa nini wanaoapa kutorudi labour room, wanasahau baada ya wk moja na kurudi huko wengine ndani ya mwaka mmoja tu!!

Sumu ya haya mambo ni kujidai kuyabeba moyoni peke yako...Kizuri na hata kibaya kula na wenzio...ndipo unapogundua kuwa kumbe chako ni kitamu sana kuliko ulivyodhani.....

Karibu tena kwenye dunia ya MMU!! Ila kila unapokutana na hunter....basi kumbuka yote tuliyoyaongea leo....That way...utakuwa salama!!

Babu DC!!
 

Sasa wewe Koku unaanza kumshangaza Babu...

Kama kweli ulipata dozi na shea ya kutosha....kwa nini sasa unajiona kama wewe ndiye uliyepata hasara baada ya kufunga biashara???

Kama hayo ni kweli...basi unahitaji ka ujuzi kidogo tu ili umrushe roho jamaa halafu uone...

Sitashangaa siku moja ukija kuomba ushauri baada ya njema kuja na nyimbo za baby come back....


Hebu jaribu kupitia thread za huko nyuma...zitakupa maujuzi ya kutosha!!

Babu DC!!
 
Wewe Mrembo,

Unaijua JF na especially hili jamvi la MMU??

Naamini akina kaka Bishanga and CO hawataona hayo maneno!!

Babu DC!!

Mkuu mwenzangu, atakuwa anaijua vizuri kabisa. Naamini hivyo kabisa
 

hivi kwa nini hii kitu imekuwa commodified kiasi hiki? hebu mniambie?
 


Hivi kwa nini wanakufungia(ga) wakati michango kama hii inahitajika sana?
 
Nimekuelewa Dark. Hata hivyo i will never never fall in love again. NEVER. So I will never bi the victim of hunters as you people call them.
I learned my lesson.
Koku,acha kuapiza,kuna watu wanajua kutongoza aisee,yaani akikulia dip ya nyuma yote unayasahu.
 

mimi nimekuwa nikilisema hili several times hapa, sijui ni mgeni kiasi gani lakini hili limeshazungumzzwa na hapa naunga tena mkono kwamba its of paramount importance that you define and set clear your objectives in any relationship....hivyo utaepusha mengi
 
yaani Koku asingekuwa mhaya mwenzangu ningemwambia ani beep,lakini da!
 
kwa hiyo ukitongozwa unatakiwa utoe mzigo fasta fasta sio?
 
Hii dunia....we acha tu,

Halafu ukiingiza na haya maisha ya maigizo ambayo vijana walishwa kila dakika kutokea kila pembe inakuwa kazi kweli kweli....Yaani kuwa mzazi sasa hivi ni pasua kichwa na especially kwa hawa teen!!
mkuu DC,i have teenegers,boys n girls,true kabisa Mkuu,ni pasua kichwa,vichwa vyao ndo serikali zao!
 
babu bana,na we unazeeka vibaya sasa,yaani ukakaacha hivi hivi? Mi huwa sibakishi kitu,nakula mpaka ukoko,you live only once Mkuu.
 
nakupendeaga hicho Mrembo,your honesty,sasa ka vipi hako kadumu kakiku put off nishtue kwa PM ,i don't mind filling the shoes,no strings attached just kubembea.
 

i fully support you,ndo maana nime apply rasmi kuwa ka ndoo kako numero 4!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…