he he he umenifuma kweli nilkuwa nachungulia....kwangu mimi umehit the right spots.ambaye simpendi huwa namtafuta tu pale ninapohitaji tunda tu,mida mingine namkaushia na akimaindi namwambia nipo bize sana
Mimi wa kwangu yaani naona ananipenda kupitiliza! maana kwenye hiki kipengele anawajibika ipasavyo Lol.Mawasiliano:
Mwanaume anaekupenda hawezi kumaliza siku bila kuwasiliana na wewes (kama hakuna external factors zinazosababisha mawasiliano yawe mabovu).
Brilliant , very impressed with this thread ...😛oa
in other hand ni ngumu sana ku mu understand mtu compliantly..
Husninyo,sijaona mahali umezungumzia kwa siye wenye nyumba ndogo, au tunakuwa covered na ile katiba yetu?:shock::A S embarassed::A S-coffee:
Wewe mbona unachakachua za watu? hehehe eniwei bandiko lako limetulia sana lakini mimi kama Mbunge wa upinzani naomba nirembee hoja binafsi.@wote mlochangia, nitarudi b'dae kujibu moja moja. Msichakachue jamani.
asante husninyo kwa somo zuri.ila hicho kipengele sijakuelewa ni sehemu gani mwanaume wako anatakiwa akuhudumie ili uone kweli huyu sio bahili ? maana kuna wapenzi wengine mwanamke nae ana uwezo,wa kuvaa .kwenda saluni etc au anatakiwa tu akuhudumie haijalishi una hela au lah?
HIVI KWA NINI MARA NYINGI TUNAPIMA MAPENZI KWA KUMUANGALIA, KUMCHUNGUZA NA KUMTATHMINI MWENZA? Je sisi binafsi tuna nafasi gani katika hii sredi?
Unajua Rais, unaweza ukataka jamaa aboreshe mawasiliano kumbe wewe mwenyewe boring kwenye hiyo fani ya mawasiliano sasa mimi naona bora mtu ajitathmini mwenyewe kwanza kabla kulembea lawama kwa mwenza.Katibu, heshima mbele mkuu.
Waja ndivyo tulivyo. Tu mahodari sana wa kuona dosari za wengine. Tunatumia muda mwingi sana kuwaangalia wengine kuliko tunavyotumia kujiangalia, kujichunguza, na kujirekebisha wenyewe. Nimemaliza.
NN aka Rais wa Wabeba Maboksi aka Mjasiriamali wa Enjo Fes na Karolaiti.
Wewe mbona unachakachua za watu? hehehe eniwei bandiko lako limetulia sana lakini mimi kama Mbunge wa upinzani naomba nirembee hoja binafsi.
HIVI KWA NINI MARA NYINGI TUNAPIMA MAPENZI KWA KUMUANGALIA, KUMCHUNGUZA NA KUMTATHMINI MWENZA? Je sisi binafsi tuna nafasi gani katika hii sredi?
Sijachakachua apo
Nimemaliza
Sasa kama hujamtumia credit ataboreshaje? Wewe mwenyewe bahili, hujaona kuna mdau hapo juu kasema wanawake tumeumbwa kupokea?...afu kisheria mwanaume ndie unatakiwa ujipendekeze kwa mwanamke hata asipojituma we jitume tu, thawabu zako utazikuta kesho kwa Mungu.Unajua Rais, unaweza ukataka jamaa aboreshe mawasiliano kumbe wewe mwenyewe boring kwenye hiyo fani ya mawasiliano sasa mimi naona bora mtu ajitathmini mwenyewe kwanza kabla kulembea lawama kwa mwenza.
Nimemaliza
Katibu wa wabeba maboksi branchi ya shekoslovakia
Sasa kama hujamtumia credit ataboreshaje? Wewe mwenyewe bahili, hujaona kuna mdau hapo juu kasema wanawake tumeumbwa kupokea?...afu kisheria mwanaume ndie unatakiwa ujipendekeze kwa mwanamke hata asipojituma we jitume tu, thawabu zako utazikuta kesho kwa Mungu.
Nimemaliza....
Sekretari wa rais wa wabeba maboksi!
Thanx alot Husninyo..it is indeed a useful post kama alivyosema Mwana-JF hapo juu...Inafungua macho na akili pia,naamini kwa wadada waliosoma hiyo post ambao wapo kwenye r-ship kila kipengele alichokuwa akipitia alikuwa aki-reflect mahusiano yake na mwenza wake. Hata hivyo kuna wadada wamejaaaliwa kupenda na kung'ang'ania,unaweza kukuta asilimia 90 ya vitu vilivyotajwa hapo wala havi-apply katika mahusiano yake lakini bado yumoo tu na jamaa...wala hagundui kama anapotezewa muda..its really sad kwa kweli!