Ladies understand your men (Wadada tu, wanaume marufuku)

Ladies understand your men (Wadada tu, wanaume marufuku)

he he he umenifuma kweli nilkuwa nachungulia....kwangu mimi umehit the right spots.ambaye simpendi huwa namtafuta tu pale ninapohitaji tunda tu,mida mingine namkaushia na akimaindi namwambia nipo bize sana

ahsante kwa ushuhuda. Duh! Wakaka fungukeni zaidi.
 
Mawasiliano:
Mwanaume anaekupenda hawezi kumaliza siku bila kuwasiliana na wewes (kama hakuna external factors zinazosababisha mawasiliano yawe mabovu).
Mimi wa kwangu yaani naona ananipenda kupitiliza! maana kwenye hiki kipengele anawajibika ipasavyo Lol.
 
@wote mlochangia, nitarudi b'dae kujibu moja moja. Msichakachue jamani.
 
Husninyo,sijaona mahali umezungumzia kwa siye wenye nyumba ndogo, au tunakuwa covered na ile katiba yetu?:shock::A S embarassed::A S-coffee:
 
@wote mlochangia, nitarudi b'dae kujibu moja moja. Msichakachue jamani.
Wewe mbona unachakachua za watu? hehehe eniwei bandiko lako limetulia sana lakini mimi kama Mbunge wa upinzani naomba nirembee hoja binafsi.

HIVI KWA NINI MARA NYINGI TUNAPIMA MAPENZI KWA KUMUANGALIA, KUMCHUNGUZA NA KUMTATHMINI MWENZA? Je sisi binafsi tuna nafasi gani katika hii sredi?

Sijachakachua apo

Nimemaliza
 
asante husninyo kwa somo zuri.ila hicho kipengele sijakuelewa ni sehemu gani mwanaume wako anatakiwa akuhudumie ili uone kweli huyu sio bahili ? maana kuna wapenzi wengine mwanamke nae ana uwezo,wa kuvaa .kwenda saluni etc au anatakiwa tu akuhudumie haijalishi una hela au lah?

kialisia mwanaume awe msukuma mkokoten au mbeba zege inatakiwa walau hampatie mpenzi wake jero mwanamke ameubwa kupokea na mwanaume by nature anatakiwa kuwa mtoaji! Smile hata kama wewe unamamilion mwanaume akikupa elfu kumi pokea mwanaume kaubwa kutoa {giving heart }
 
HIVI KWA NINI MARA NYINGI TUNAPIMA MAPENZI KWA KUMUANGALIA, KUMCHUNGUZA NA KUMTATHMINI MWENZA? Je sisi binafsi tuna nafasi gani katika hii sredi?

Katibu, heshima mbele mkuu.

Waja ndivyo tulivyo. Tu mahodari sana wa kuona dosari za wengine. Tunatumia muda mwingi sana kuwaangalia wengine kuliko tunavyotumia kujiangalia, kujichunguza, na kujirekebisha wenyewe. Nimemaliza.

NN aka Rais wa Wabeba Maboksi aka Mjasiriamali wa Enjo Fes na Karolaiti.
 
kiukweli huwa nakufagilia xaaana @husninyo... hapa ndo umenimaliza kabisaaaa.... so so useful and a very trustworth post!!!
 
Katibu, heshima mbele mkuu.

Waja ndivyo tulivyo. Tu mahodari sana wa kuona dosari za wengine. Tunatumia muda mwingi sana kuwaangalia wengine kuliko tunavyotumia kujiangalia, kujichunguza, na kujirekebisha wenyewe. Nimemaliza.

NN aka Rais wa Wabeba Maboksi aka Mjasiriamali wa Enjo Fes na Karolaiti.
Unajua Rais, unaweza ukataka jamaa aboreshe mawasiliano kumbe wewe mwenyewe boring kwenye hiyo fani ya mawasiliano sasa mimi naona bora mtu ajitathmini mwenyewe kwanza kabla kulembea lawama kwa mwenza.
Nimemaliza

Katibu wa wabeba maboksi branchi ya shekoslovakia
 
Wewe mbona unachakachua za watu? hehehe eniwei bandiko lako limetulia sana lakini mimi kama Mbunge wa upinzani naomba nirembee hoja binafsi.

HIVI KWA NINI MARA NYINGI TUNAPIMA MAPENZI KWA KUMUANGALIA, KUMCHUNGUZA NA KUMTATHMINI MWENZA? Je sisi binafsi tuna nafasi gani katika hii sredi?

Sijachakachua apo

Nimemaliza

Nakuunga mkono na mguu hapo kwenye red. Tunapenda kuhukumu wengine kwa makosa au mapungufu yetu. Tujitathmini, tukubali makosa na kuwajibika ipasanyo.
 
Salaam alekum, nimepita tu kusalimia, nipo kwenye biriani la kukata na shoka kwa Hamza Kasongo. Kuna yoyote wa JF hapa nimsalimie? Amuone ff live.
 
Unajua Rais, unaweza ukataka jamaa aboreshe mawasiliano kumbe wewe mwenyewe boring kwenye hiyo fani ya mawasiliano sasa mimi naona bora mtu ajitathmini mwenyewe kwanza kabla kulembea lawama kwa mwenza.
Nimemaliza

Katibu wa wabeba maboksi branchi ya shekoslovakia
Sasa kama hujamtumia credit ataboreshaje? Wewe mwenyewe bahili, hujaona kuna mdau hapo juu kasema wanawake tumeumbwa kupokea?...afu kisheria mwanaume ndie unatakiwa ujipendekeze kwa mwanamke hata asipojituma we jitume tu, thawabu zako utazikuta kesho kwa Mungu.
Nimemaliza....

Sekretari wa rais wa wabeba maboksi!
 
Spot on... infact kwa mke chake chake na cha mume chake ndio wanaume wa ukweli wanautekeleza. Serious ly, mwanaume bora ni yule anayenunulia mkewe vocha hata kama mke hampigii simu. Anayebeep apigiwe au hadi awe beeped ndio apige sio mwanaume.
 
Thanx alot Husninyo..it is indeed a useful post kama alivyosema Mwana-JF hapo juu...Inafungua macho na akili pia,naamini kwa wadada waliosoma hiyo post ambao wapo kwenye r-ship kila kipengele alichokuwa akipitia alikuwa aki-reflect mahusiano yake na mwenza wake. Hata hivyo kuna wadada wamejaaaliwa kupenda na kung'ang'ania,unaweza kukuta asilimia 90 ya vitu vilivyotajwa hapo wala havi-apply katika mahusiano yake lakini bado yumoo tu na jamaa...wala hagundui kama anapotezewa muda..its really sad kwa kweli!

kweli aisee,mfano kuna mdada anampenda sana baba angu mdogo ila bamdogo hana mpango nae na huwa anawaambia kaka zake hana mpango na yule dada, mdada kashafanyiwa visa vyote lakini hasikii haambiwi kwa bamdogo. Kazi tunayo wanawake.
 
Back
Top Bottom