Ladies understand your men (Wadada tu, wanaume marufuku)

Ladies understand your men (Wadada tu, wanaume marufuku)

Inawezekana Bishanga, but inategemea na makubaliano yenu ya awali i mean alikuahidi nini na alikupa matumaini gani kuhusu ndoa. Hata hvyo nimejifunza, ndoa kwangu siyo ishu tena. Natafuta chapaa i mean pesa. Kwenye moyo wangu haku nafasi tena kwa kiumbe ME. wAMENITENDA

Koku,

Hebu soma ushauri/maoni ya Mama Tuli....

Hakuna mwanamume hata mmoja atakueleza ukweli wake katika hatua za awali...Jitihada zake zote zinaelekezwa kwenye kushusha kiroba walau hata nusu...Ukikubali kirahisi basi pole sana...Ila pia ukijua jinsi ya kucheza game basi utaweza kufikia malengo yako ya kugawa tunda baanda ya kujua mwisho wa safari yako...Vinginevyo utaendelea kuwa gari la majaribio!!
 
Taratibu kaka Bishanga,

Hapo kwenye blue...ni wajukuu zangu wachache sana ambao wako tayari kukuachia mwili wao uufanyie ma experiment yako na kuukodolea macho kama movie bila malengo......Labda kama mmeshakubaliana dau!!

Ila kwa uzoefu wangu...hakuna taabu kwa mwanamume kubwa (at anytime "t"), kama kuwa na mwanamke ambaye ni wa kutoa burudani tu......Baada ya kupata dozi kama 10 hivi, anakuwa kero na unwanted/undesirable/uninteresting kama kituo cha Kova!!

Mkuu DC,tatizo langu nii hii mentality ya ku attach mapenzi na ndoa,i have a problem with it hasa nikiangalia uhalisia wa ndoa za dot.com,too much ndoa without love na too much love without ndoa Mkuu.
 
hahahahahaha! Ombi la babu liheshimiwe. Nitafanya hiyo kazi. Matunda lazma yatunzwe. Au sio?

Nitawajengea wakukuu zangu cold room ili watunze matunda yao...yawe salama hadi walaji ambao ni genuine watakapofika...

Inawauma Babu na Bibi kuona matunda ya wajukuu yanaliwa hovyo hovyo tena walaji wengine hata score ya "Zero" hawafikii kabisa!!
 
Mkuu DC,tatizo langu nii hii mentality ya ku attach mapenzi na ndoa,i have a problem with it hasa nikiangalia uhalisia wa ndoa za dot.com,too much ndoa without love na too much love without ndoa Mkuu.

Msichana yeyote mwenye mtazamo wa namna hiyo...lazima atagawa tunda kama njugu...Yaani yeye anakuwa na hysteria kuwa kila mla tunda ana hamu na utashi wa kumiliki.....very pathetic!!!

Hawa ni wa kupewa pole kwani kama wangejua....Wanaume wote wanapenda maziwa ila ni kama <10% walio tayari kufuga ng'ombe...!! Taabu yote ya kuhangaika na kukata majani + kuzoa samadi ya nini???
 
Ni ile ile mpendwa wangu labda network ilikuwa inazingua! Mengi yameshaongelewa, na ulichokiandika hapo ni kweli kabisa!!! Kuna watu wanasema mapenzi hayana fomulae(fine).........ila mapenzi yasimfanye mtu kuwa mpumbavu au mzembe kiasi cha kushindwa kusoma hata alama za nyakati ilihali dalili zote zinaonekana kabisa! Kwa mdada makini na mwenye determination na future yake lazima awe makini na achukue tahadhali sio kila siku ni kutoa tunda alafu mwenzako anapotea.....then anarudi tena kwa ajili ya tunda, sasa hapo utahesabu una mtarajiwa kweli??? Mpenzi anakutishia kukuacha kwa sababu hujampa tunda, basi kwa kutofikiri nawe unatoa eti unahofia kukimbiwa.......does it make sense kweli??? Kila siku unayoenda kumtembelea wewe ni wakupelekwa gest tu au kwenye geto la wenzake, jiulize huko kwake kunani??? Lol......uandishi wangu wa mwanzo usikustue sana, ni kweli......today am not feeling well my dear!!

tunda tundaaaaa,hii maneno ya tunda mbona mnaipa uzito sana?its all about friction meeeeeeeeeeeen!!!!!!!!!!
 
Nitawajengea wakukuu zangu cold room ili watunze matunda yao...yawe salama hadi walaji ambao ni genuine watakapofika...

Inawauma Babu na Bibi kuona matunda ya wajukuu yanaliwa hovyo hovyo tena walaji wengine hata score ya "Zero" hawafikii kabisa!!

ila babu kuna wajukuu wagumu kuelewa ila nikiwa kama peer educator nitafanya kazi yangu ipasavyo.
 
Inawezekana Bishanga, but inategemea na makubaliano yenu ya awali i mean alikuahidi nini na alikupa matumaini gani kuhusu ndoa. Hata hvyo nimejifunza, ndoa kwangu siyo ishu tena. Natafuta chapaa i mean pesa. Kwenye moyo wangu haku nafasi tena kwa kiumbe ME. wAMENITENDA

Koku nisamehe kama nitakua sijakuelewa,nieleweshe tafadhali. Unapoongelea
makubaliano ya awali mliahidiana nn kuhusu ndoa,hivi kweli inawezekana mkaanza tu mahusiano na kuanza kuwekeana makubaliano ya ndoa???
 
ooh! Nilikosea, namshauri kokutona atakapotaka kuanza mahusiano mapya amsome kwanza mwenza wake kwa vigezo vyake binafsi na hivyo nilivyomuongezea. Kama anaanzisha mahusiano ya kupeana mautamu tu haina haja ya kufatilia chochote. Una la ziada?
la ziada? I love yu!
 
Koku pole sana. I have a very simple question for u.....umetoka ukakutana na jamaa mkazimikiana(sort of)mkabadilishan no za cm mkaanza mawasiliano. Siku ya siku jamaa akakwambia anakutamani toka alipokuona siku ya kwanza na angependa mkale tunda lkn baada ya hapo no strings attached! Je,ww Koku utakubali??? Tatizo letu kubwa wanawake(sio wote) tukiambiwa UKWELI inatusumbua sanaaa na hatutaki kuukubali,ndo mana wanaume nao wanaona bora watudanganye tu.
no strings attached?natafuta wa hivo!
 
Msichana yeyote mwenye mtazamo wa namna hiyo...lazima atagawa tunda kama njugu...Yaani yeye anakuwa na hysteria kuwa kila mla tunda ana hamu na utashi wa kumiliki.....very pathetic!!!

Hawa ni wa kupewa pole kwani kama wangejua....Wanaume wote wanapenda maziwa ila ni kama <10% walio tayari kufuga ng'ombe...!! Taabu yote ya kuhangaika na kukata majani + kuzoa samadi ya nini???

Wape wape somo vijukuu vyako vijifunzeee,usitupiwe lawama hukuwafundisha.......if they are ready to learn from Babu lao.
 
Inawezekana Bishanga, but inategemea na makubaliano yenu ya awali i mean alikuahidi nini na alikupa matumaini gani kuhusu ndoa. Hata hvyo nimejifunza, ndoa kwangu siyo ishu tena. Natafuta chapaa i mean pesa. Kwenye moyo wangu haku nafasi tena kwa kiumbe ME. wAMENITENDA
nikwambie kitu Koku? Mwanaume akiwa na ny........huwa anasema kila kitu!
 
Mkuu DC,tatizo langu nii hii mentality ya ku attach mapenzi na ndoa,i have a problem with it hasa nikiangalia uhalisia wa ndoa za dot.com,too much ndoa without love na too much love without ndoa Mkuu.

Abashaija acha uchokozi banaaa mbona unamlenga njombaa angu, yy ameoa sababu demu anavutia sanaaaa na kila mwanaume anaemuona anachanganyikiwa......anapewa ma compliments kibaoo kila wanapoonekana pamoja. Hii ndo tu machi nn vile?
 
Wape wape somo vijukuu vyako vijifunzeee,usitupiwe lawama hukuwafundisha.......if they are ready to learn from Babu lao.

Inauma sana Mama Tuli,

Yaani kwa umri wetu kushuhudia vijukuu vyetu vinachakachuliwa hovyo hovyo kama kama kuku wa kienyeji inauma saaaaaaaaana!!

Ila sasa kuna vijukuu vingine vimepitiliza hadi vinakaribia kumbaka babu yao...Hivyo sijui akina Hus na Kongosho watanisaidiaje..

Sina hakika kama maombi yanatosha kuviokoa hivyo vikware vililivyopiliza hadi vinaona matunda yao kama nyanya masala......!!
 
tunda tundaaaaa,hii maneno ya tunda mbona mnaipa uzito sana?its all about friction meeeeeeeeeeeen!!!!!!!!!!

Friction?? Kwa asijesajiliwa??? Hiyo formulae mpelekee mama koku kwa sababu najua hata koku mwenyewe huwezi kumwambia!
 
nikwambie kitu Koku? Mwanaume akiwa na ny........huwa anasema kila kitu!

Siyo kusema tu...anaweza kutenda mambo ambayo hata ngiri hawezi kufanya.....Huwezi kuamini anaweza kutoa funguo za gari aliyoazima kwa Bishanga kwenda kuopolea.....Halafu maada ya match anajidai kuiazima ili aende ATM kuchukua salio watoke out....!!

Mbele ya match akili ya mwanamume inakuwa kama ya mtoto aliyezaliwa juzi..Ila akishapewa tu...anabadilika na kuwa kama Profesa wa uchumi kutoka IMF, ambaye yuko tayari kuielekeza nchi ya hovyo kama Tanzania jinsi ya kuspend pesa zake za kuunga unga!!
 
Back
Top Bottom