Ladies Usikubali kumkaribisha maishani mwako, No matter how life is damn miserable to you. Wewe ni wathamani

Ahsante mkuu.. ila naona wengi wadada hawawezi vumilia taabu
 
Nashangaa wanawake wanaounga mkono mtu kutoa uchi ili kupata kazi. Lakini nawashangaa zaidi wanaume wanaounga mkono huu ujinga.

Hivi tutakuwa wababa wa aina gani kwa mabinti zetu kama swala dogo kama hili tu tunashindwa kusimamia kwenye maadili.

Competency is a rare commmodity. Kwenye dunia hii ya ushindani, pambana upate skills zitakokusaidia kukufanya ustand-up kwenye crowd ya waomba kazi wengine.

Lakini haya mambo ya kutoa uchi, utatoa hadi kupata promotion kazini, utatoa kupata ada za watoto, utatoa kulipa vicoba.
 
Watu hawaelewi haya mambo..washaona ni kitu cha kawaida. Huko viwandani watu wanatumiwa saba sana na kazi hawapati
 
Kwa hiyo hakuna Upendo wa dhati.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijui hiyo ni ndoa ya aina gani, tendo lenyewe linaitwa la ndoa, unapolifanya kabla ni ngono. Kiuhalisia mambo ni kinyume, ila haitakiwi lifanywe mkiwa nje ya ndoa, iwe ni ahadi ya kuolewa au la.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…