Ladies Usikubali kumkaribisha maishani mwako, No matter how life is damn miserable to you. Wewe ni wathamani

Kufanya mapenzi kwa sababu ya hela, kazi, au certain favor sio sahihi.
Kusema kweli hakuna watu wanaofanya mapenzi bila kuwepo na design flani ya kutaka "favour" flani. Hata walioko ndoani.

Wengi wanategemea kile kitendo kama investment fulani hivyo in the end wanategema ROI. Au kama walishapata favours basi inakua ni kama ku pay back favours.

Trust me.
 
Yeah, nakubaliana na wewe kwa kiasi fulani. Sema kufanya mapenzi ili kupata kazi au kupewa hela ni extreme.
 
I think watu wamekariri sijui kuwa mabosi wooote watu wabaya na wana ngoma
Wengine mbona watu wazuri tu..it depends unakutana na nani

Uzi mzima thamani thamaniii....fanya hio thamani ikulishe basi😅

Kaandika ukweli mtupu ila the right things are always difficult!
Na haviku'guarantee kutoka!!
 
Mi nina swali moja kwa wadada ati maneno haya ya huyu jamaa yanashusha ugumu wa maisha..?
Hayashushi...
In life u need to mix both right and wrong things
Komaa na right utoke karne ijayo!!
 
Hata dhumuni langu likiwa ni kupata utamu na raha tuu ndio "favour " yenyewe?
 
Mods can you do me a favour.?
Please delete this Mess
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…