Rebeca 83
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 15,136
- 32,268
Usijali.. kama ulifanya yashapita songa mbele
Kama utani wenyewe ndio huu,,, not very funny
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usijali.. kama ulifanya yashapita songa mbele
Kusema kweli hakuna watu wanaofanya mapenzi bila kuwepo na design flani ya kutaka "favour" flani. Hata walioko ndoani.Kufanya mapenzi kwa sababu ya hela, kazi, au certain favor sio sahihi.
Yeah, nakubaliana na wewe kwa kiasi fulani. Sema kufanya mapenzi ili kupata kazi au kupewa hela ni extreme.Kusema kweli hakuna watu wanaofanya mapenzi bila kuwepo na design flani ya kutaka "favour" flani. Hata walioko ndoani.
Wengi wanategemea kile kitendo kama investment fulani hiyo in the end wanategema ROI. Au kama walishapata favours basi inakua ni kama ku pay back favours.
Trust me.
I think watu wamekariri sijui kuwa mabosi wooote watu wabaya na wana ngomaKuliko kiwabia wawe wavumilivu na maswala ya Umungu Mungu sijui mi naona ni heri ungekuja na solution ya moja kwa moja!,tiba ni kutibu tatizo ni ama litengwe fungu la kuwasaidia au wao wenyewe kusaidiana hii italeta heshima sana.. kuwaambia kuvumilia shida huo ni mkwara tena mkwara mbuzi!!
Mkuu maisha ya kuandika kuwa maisha ni magumu sio yale halisi kabisa!!
Maisha yanamtwanga mtu kiasi anaona uchi wake si thamani!! Hata hivyo kuna wengine uchi huo umewasaidia wanamaisha mazuri!!
Sitetei ati wafanye ila najaribu kukuonyesha kuwa ktk maisha hakuna kitu kinaitwa kukariri!!
Njaa ni njaa tu kama Kuna njaa lazima watashusha sketi cha kuwasaidia ni kuua hiyo njaa ili hata wakiombwa watoe kwa hiari yao na sio shinikizo la shida!
Lakini kufanya ni kulekuleKufanya mapenzi kwa sababu ya hela, kazi, au certain favor sio sahihi.
Hayashushi...Mi nina swali moja kwa wadada ati maneno haya ya huyu jamaa yanashusha ugumu wa maisha..?
Bora hata doing it for something!!
Siwezi kum'judge binti aliepigika mtaani anapoamua kujikwamua
Usitoe kwa kila anayeombaHivi kama ulishaanza kufanya mapenzi na pengine jana tu umetoka kufanya HR kakuomba siku moja tu unakuwa na kipi cha kupoteza? Nauliza tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Of course haiwezekani kutoa kwa kila anayeomba, ila kama kuna faida utapata kwa nini usitoe?Usitoe kwa kila anayeomba
Hata dhumuni langu likiwa ni kupata utamu na raha tuu ndio "favour " yenyewe?Kusema kweli hakuna watu wanaofanya mapenzi bila kuwepo na design flani ya kutaka "favour" flani. Hata walioko ndoani.
Wengi wanategemea kile kitendo kama investment fulani hivyo in the end wanategema ROI. Au kama walishapata favours basi inakua ni kama ku pay back favours.
Trust me.
Halafu binti mwenyewe usikute anampa mvuta bangi tu wa huko street HR akiomba eti utu...utu my footSiwezi kum'judge binti aliepigika mtaani anapoamua kujikwamua
Hakuna atakayeomba bila kutoa ahadi kedekede ili afanikiwe kukuvuaOf course haiwezekani kutoa kwa kila anayeomba, ila kama kuna faida utapata kwa nini usitoe?
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah. Haufanyi just in vain 😃Hata dhumuni langu likiwa ni kupata utamu na raha tuu ndio "favour " yenyewe?
Hivi kama ulishaanza kufanya mapenzi na pengine jana tu umetoka kufanya HR kakuomba siku moja tu unakuwa na kipi cha kupoteza? Nauliza tu
Sent using Jamii Forums mobile app