Ladies Usikubali kumkaribisha maishani mwako, No matter how life is damn miserable to you. Wewe ni wathamani

Ladies Usikubali kumkaribisha maishani mwako, No matter how life is damn miserable to you. Wewe ni wathamani

Hili swali limekaa kimishil [emoji23][emoji23][emoji23]

Ukiweka hard feelings pembeni na uone hiyo kama business.. naona hakuna cha kupoteza
Hakuna cha kupoteza kabisa, chamuhimu makubaliano tu. Eti limekaa kimishil[emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna cha kupoteza kabisa, chamuhimu makubaliano tu. Eti limekaa kimishil[emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
Alikuwa mafia ..hili suala lingekuwa dogo kwake

Inaweza kuonekana kama upuuzi ila ukijieka katika hiyo state ya kuwa unemployed na fursa ipo mbele yako ni ngumu kukataa
 
Alikuwa mafia ..hili suala lingekuwa dogo kwake

Inaweza kuonekana kama upuuzi ila ukijieka katika hiyo state ya kuwa unemployed na fursa ipo mbele yako ni ngumu kukataa
Hahaha nimeelewa kwa nini umemhusisha mishil kwenye hili. Mwanamke alikuwa mafia yule, aliniacha hoi tu kitendo cha kumiliki wanaume wawili kwa mpigo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Da Vinci umeandika ukweli mchungu.

Kwa wale gold digger au wale walioanza kudate na waume za watu toka wakiwa first year chuo ni ngumu sana kukuelewa.

Anyway, kwa sababu dunia imevaa boxer nowadays na bado na inakatiza mtaani na kujiona iko salama...basi wale wakazi wa hii dunia watakuona wewe ni porojo tu.

Ktk shamba la Bwana ushapalilia miraba kadhaa kwa bandiko hili.
 
Ndugu post yangu niliandika kwa lengo la kuwatia moyo na kuwakumbusha waheshim utu wao ila naona imepokelewa vibaya.
Njaa Ruin Everything Bro

Lakini hoja yako inabagua kidogo haija,base kwa wanawake wote [emoji28]
 
Yanaokoa roho za wadada wasiokua na hatia wanaotaka kupotea.. Ila Ugumu uko pale pale kiongozi.
One of Risk management ni kukibali kua Risk hii ni sehemu ya maisha yako. So nao wakubali kua matatizo ni sehem ya maisha haiwezekani kuyakwepa.
Kuliko kiwabia wawe wavumilivu na maswala ya Umungu Mungu sijui mi naona ni heri ungekuja na solution ya moja kwa moja!,tiba ni kutibu tatizo ni ama litengwe fungu la kuwasaidia au wao wenyewe kusaidiana hii italeta heshima sana.. kuwaambia kuvumilia shida huo ni mkwara tena mkwara mbuzi!!
Mkuu maisha ya kuandika kuwa maisha ni magumu sio yale halisi kabisa!!
Maisha yanamtwanga mtu kiasi anaona uchi wake si thamani!! Hata hivyo kuna wengine uchi huo umewasaidia wanamaisha mazuri!!
Sitetei ati wafanye ila najaribu kukuonyesha kuwa ktk maisha hakuna kitu kinaitwa kukariri!!
Njaa ni njaa tu kama Kuna njaa lazima watashusha sketi cha kuwasaidia ni kuua hiyo njaa ili hata wakiombwa watoe kwa hiari yao na sio shinikizo la shida!
 
Back
Top Bottom