Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Napenda Ila visiwe vinyonge ,visivyojajusha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Napenda Ila visiwe vinyonge ,visivyojajusha.
Ma motivation speakers wamewaharibu vijana wetuNadharia ambazo haziwezi kupimwa wala kuthibitishwa..lol..zinabaki nadharia tu..
Nakaribia kusahauNadharia ndio zinajenga dunia usisahau
Hili swali limekaa kimishil [emoji23][emoji23][emoji23]Hivi kama ulishaanza kufanya mapenzi na pengine jana tu umetoka kufanya HR kakuomba siku moja tu unakuwa na kipi cha kupoteza? Nauliza tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna cha kupoteza kabisa, chamuhimu makubaliano tu. Eti limekaa kimishil[emoji16][emoji16]Hili swali limekaa kimishil [emoji23][emoji23][emoji23]
Ukiweka hard feelings pembeni na uone hiyo kama business.. naona hakuna cha kupoteza
Alikuwa mafia ..hili suala lingekuwa dogo kwakeHakuna cha kupoteza kabisa, chamuhimu makubaliano tu. Eti limekaa kimishil[emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha nimeelewa kwa nini umemhusisha mishil kwenye hili. Mwanamke alikuwa mafia yule, aliniacha hoi tu kitendo cha kumiliki wanaume wawili kwa mpigoAlikuwa mafia ..hili suala lingekuwa dogo kwake
Inaweza kuonekana kama upuuzi ila ukijieka katika hiyo state ya kuwa unemployed na fursa ipo mbele yako ni ngumu kukataa
Njaa Ruin Everything BroNdugu post yangu niliandika kwa lengo la kuwatia moyo na kuwakumbusha waheshim utu wao ila naona imepokelewa vibaya.
Inaonyesha mtoa mada kagusa kidonda eeh
Pole.. utani tu
Kuliko kiwabia wawe wavumilivu na maswala ya Umungu Mungu sijui mi naona ni heri ungekuja na solution ya moja kwa moja!,tiba ni kutibu tatizo ni ama litengwe fungu la kuwasaidia au wao wenyewe kusaidiana hii italeta heshima sana.. kuwaambia kuvumilia shida huo ni mkwara tena mkwara mbuzi!!Yanaokoa roho za wadada wasiokua na hatia wanaotaka kupotea.. Ila Ugumu uko pale pale kiongozi.
One of Risk management ni kukibali kua Risk hii ni sehemu ya maisha yako. So nao wakubali kua matatizo ni sehem ya maisha haiwezekani kuyakwepa.
Hahaaaaaaaa kuachwa ni shuguli pevu