Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,682
- 98,253
Hahaha dadekiAibu. Basi njiani nikakuta mtu na dem wake wamekumbatiana wanatembea kwenye mvua wameloa chapa chapa nikasema nisimame niwasogeze kidogo ili niwasimulie yaliyonikuta wakakataa lifti. Wangekuwa watoto ningewashikia fimbo wapande kwa lazima ili niwasimulie machungu yapungue
Nimekiona sana, sema nimejifanya sijakiona vile, halafu yule mwingine mbona yeye humjibu, teh!Hahaha kuna kibomu kingine huko mbele. Jana hawa mabinti walihack account yangu teh
Hahaha nani huyo?Nimekiona sana, sema nimejifanya sijakiona vile, halafu yule mwingine mbona yeye humjibu, teh!
Aiseeee we sista yaani.......exactly, ukikaa kuwalilia wanakupanda kichwani, ni goodbye kweli kweli.
Aibu. Basi njiani nikakuta mtu na dem wake wamekumbatiana wanatembea kwenye mvua wameloa chapa chapa nikasema nisimame niwasogeze kidogo ili niwasimulie yaliyonikuta wakakataa lifti. Wangekuwa watoto ningewashikia fimbo wapande kwa lazima ili niwasimulie machungu yapungue
Competitor wa Benny, ila ngoja nimalizie uzi wote kwanza, usikute umemjibu huko mbele teh!Hahaha nani huyo?
Kwa sababu hatunaga sababu zenye mashiko
Namba 8
Competitor wa Benny, ila ngoja nimalizie uzi wote kwanza, usikute umemjibu huko mbele teh!
Mmh haya kila la kheri na Benny, sie twasubiria tu kadi sasaalikuwa ashachagua kitaaambo, jamaa alivamia tu gari kwa mbele.
hahahaaaaaaaaa!!! you made my evening, kweli alijua kukuweza!!
unatamani umsimulie mtu ila ndio vile tena.
ni waoga wanawake kujieleza ndo maana ujaina faster madume yameingilia..... mke wangu yy n no 8 ingawa najua hapendagi kwa sana.The question is for ladies but men comes first to say what they like. ... it's like they twist the question.
Anyways let that a side, Kasie act on number 7 and 8.
As usual....
My regards to Silas.
Kasie.
natural from Sir God u can't buy it.Hiyo no.8 ndio vazi gani Jamani? Nimnunulie wife...naona kila mtu analipenda!
Heheh!, kama nakuona ulivo hangaika. Halafu mdada alifanya kitendo siku mbaya sana...ya mvua...when you needed her the most! 🙂
Hahaha eti unafikiri vichambo aliandika kwenye daftari. Ni mnyaki pia huyo binti?We acha tu atoto yani mtu una fundo lako shingoni halafu watu hawakusikilizi.
Siku tatu kabla hajaolewa alinipigia akanipa vichambo vikali sana nafikiri aliandika maana vyote vilikuwa vinagusa hadi kwenye mfupa. Mi nilikuwa natetemeka tu sikuwa na majibu. Akaniambia nioe niache kusumbua watoto wa watu
Nahisi mateso yote haya ni huyu mwanamke tulizaa mtoto halafu tukazinguana. Tatizo habembelezeki, tunaongea vizuri sana hata se.x anatoa bila shida tukionana. Ila suala zima la kuoana hataki hata kusikia anasema mi kicheche. Nimemuambia nimebadilika hataki hata kusikia. Nimechoka
Hahaha eti unafikiri vichambo aliandika kwenye daftari. Ni mnyaki pia huyo binti?
We acha tu atoto yani mtu una fundo lako shingoni halafu watu hawakusikilizi.
Siku tatu kabla hajaolewa alinipigia akanipa vichambo vikali sana nafikiri aliandika maana vyote vilikuwa vinagusa hadi kwenye mfupa. Mi nilikuwa natetemeka tu sikuwa na majibu. Akaniambia nioe niache kusumbua watoto wa watu
Nahisi mateso yote haya ni huyu mwanamke tulizaa mtoto halafu tukazinguana. Tatizo habembelezeki, tunaongea vizuri sana hata se.x anatoa bila shida tukionana. Ila suala zima la kuoana hataki hata kusikia anasema mi kicheche. Nimemuambia nimebadilika hataki hata kusikia. Nimechoka
Hahaha komesha yako hiyoHuyo ni mixer ya mnyaru/tutsi na mchaga ila uswahili anauweza balaa. Ajabu ananichamba mwenyewe na kulia analia mwenyewe. Na mimi kubishana na wadada siwezi. Nikishushuliwa sana huwa naishia kusafiri tu.
hebu come again, ulozaa nae ni huyo aloolewa au?? maana umenichanganya hapo.
Hahaha komesha yako hiyo