We acha tu atoto yani mtu una fundo lako shingoni halafu watu hawakusikilizi.
Siku tatu kabla hajaolewa alinipigia akanipa vichambo vikali sana nafikiri aliandika maana vyote vilikuwa vinagusa hadi kwenye mfupa. Mi nilikuwa natetemeka tu sikuwa na majibu. Akaniambia nioe niache kusumbua watoto wa watu
Nahisi mateso yote haya ni huyu mwanamke tulizaa mtoto halafu tukazinguana. Tatizo habembelezeki, tunaongea vizuri sana hata se.x anatoa bila shida tukionana. Ila suala zima la kuoana hataki hata kusikia anasema mi kicheche. Nimemuambia nimebadilika hataki hata kusikia. Nimechoka