Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Costume yangu ya kulala.
Track suit full, bendera ya chadema, raba bendera ya Tanu, na kilemba cha kitenge cha ccm.
Halafu mtu aseme mie sio mtanzania.
Not a satin negligee?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Costume yangu ya kulala.
Track suit full, bendera ya chadema, raba bendera ya Tanu, na kilemba cha kitenge cha ccm.
Halafu mtu aseme mie sio mtanzania.
Hahaha sasa wewe ni chama gani, maana umemix vyote eti.Costume yangu ya kulala.
Track suit full, bendera ya chadema, raba bendera ya Tanu, na kilemba cha kitenge cha ccm.
Halafu mtu aseme mie sio mtanzania.
Chezea mama mzee chema....yaani nimelea akaleleka, sitaki utani kabisa, hapo hizo sifuri kila siku zinaongezeka kwenye mahari
yaani huyo muoaji ajipange, asinijie kichwa kichwa kabisa.
misifa yote yangu hiyooo??
ndo maana nakuganda nipate somo la exposure eti, nikifikisha tu 20% mjiandae kwa wedding teh
Mngejua huku chogo langu linavyoongezeka kwa hizo sifa, mngenihurumia tuAcha tu, binti ni binti haswa!, walosema huwezi kumlea wakwapiii!
Mtu akijileta kichwa kichwa unamtoa nduki na mwiko mkononi...🙂
Nataka x-pozha ya USA Baby. Hiyo ya Ludewa si ndo ilinifanya nimkose shemeji ako nshomile wa kisukuma. Sitaki mie
Hahaha si ningejidai jamani. Naona wachumba hawanitaki kabisa, sina exposure ya USA Baby. Hii ya Ludewa imeshanitosha teh. Siku tu nikifika DUBAI mtakoma kwa hayo mapichaHuh!, wewe kabsaa!, wa kutafuta ecposure? usie hitaji hata kufanya kazi?
Kila weekend unapiga tu simu kwa baba alete pocket money. Halafu weekend zenyewe...Dubaii!
Aah wewe bi mkubwa kwa ile ex-pozha ya Ludewa ntaishia kuolewa na afisa nanhii kama sio yule nanhii teh. hutaki kwenda USA Baby?yule nshomile bora tu ulimkosa kwakweli hata usijutie.
kwani unaolewa na nshomile wale wawili hadi utake eksipozha za USA?? we tulia hizo hizo zinakutosha.
Hahaha sasa wewe ni chama gani, maana umemix vyote eti.
Usiku hupakagi kabisa na mafuta ya vitumbua usoni?
Hahaha yake yanalast longer, afu ukisikia lips kupauka, unajiramba kidogo. Mbona hujui budget wewe😀😀😀!, am done, uwiiii..lol!
Hahaha si ningejidai jamani. Naona wachumba hawanitaki kabisa, sina exposure ya USA Baby. Hii ya Ludewa imeshanitosha teh. Siku tu nikifika DUBAI mtakoma kwa hayo mapicha
Aah wewe bi mkubwa kwa ile ex-pozha ya Ludewa ntaishia kuolewa na afisa nanhii kama sio yule nanhii teh. hutaki kwenda USA Baby?
Hahaha yake yanalast longer, afu ukisikia lips kupauka, unajiramba kidogo. Mbona hujui budget wewe
Rafiki zake wa wapi? Ndo anavyokudanganya? I bet kama kuna story kakusimulia ni kaisikia kwa watuMh!, I doubt it. Mama yako hapo rafiki zake wa usa baby, sa mwanae kwa nini asiwe kama huko.
Hahaha hivi safari ya DUBAI iliishia wapi au ndo labour? Chezea daddy wa mwendokasihizo eksipozha sitaki tena kuzisikia, ndio gia alonikamata nayo baba yako na mpaka kesho hiyo dubai naisikia tu!! yaani alijua kuniweza yule mwanaume!!
Siafu sijui sisimizi wameze tu na wao. Ni dawa ya tumbo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125]Afadhali umenifunza, coz bajeti yangu kali.
Usoni ya vitumbua, kichwani ya nazi. Nsije karibisha siafu tu usiku. 🙂
Rafiki zake wa wapi? Ndo anavyokudanganya? I bet kama kuna story kakusimulia ni kaisikia kwa watu
Hajui cha vacation sijui vaccination, mnaitaje vile?[emoji39] [emoji39]
Rafiki zake wa wapi? Ndo anavyokudanganya? I bet kama kuna story kakusimulia ni kaisikia kwa watu
Hajui cha vacation sijui vaccination, mnaitaje vile?
[emoji39] [emoji39]
Hahaha hivi safari ya DUBAI iliishia wapi au ndo labour? Chezea daddy wa mwendokasi