Ladies, what do you wear in bed?

Ladies, what do you wear in bed?

Costume yangu ya kulala.
Track suit full, bendera ya chadema, raba bendera ya Tanu, na kilemba cha kitenge cha ccm.

Halafu mtu aseme mie sio mtanzania.

Not a satin negligee?
 
  • Thanks
Reactions: kui
Costume yangu ya kulala.
Track suit full, bendera ya chadema, raba bendera ya Tanu, na kilemba cha kitenge cha ccm.

Halafu mtu aseme mie sio mtanzania.
Hahaha sasa wewe ni chama gani, maana umemix vyote eti.

Usiku hupakagi kabisa na mafuta ya vitumbua usoni?
 
misifa yote yangu hiyooo??

ndo maana nakuganda nipate somo la exposure eti, nikifikisha tu 20% mjiandae kwa wedding teh

Huh!, wewe kabsaa!, wa kutafuta exposure? usie hitaji hata kufanya kazi?
Kila weekend unapiga tu simu kwa baba alete pocket money. Halafu weekend zenyewe...Dubaiii!
 
Acha tu, binti ni binti haswa!, walosema huwezi kumlea wakwapiii!

Mtu akijileta kichwa kichwa unamtoa nduki na mwiko mkononi...🙂
Mngejua huku chogo langu linavyoongezeka kwa hizo sifa, mngenihurumia tu
 
  • Thanks
Reactions: kui
Nataka x-pozha ya USA Baby. Hiyo ya Ludewa si ndo ilinifanya nimkose shemeji ako nshomile wa kisukuma. Sitaki mie

yule nshomile bora tu ulimkosa kwakweli hata usijutie.
kwani unaolewa na nshomile wale wawili hadi utake eksipozha za USA?? we tulia hizo hizo zinakutosha.
 
Huh!, wewe kabsaa!, wa kutafuta ecposure? usie hitaji hata kufanya kazi?
Kila weekend unapiga tu simu kwa baba alete pocket money. Halafu weekend zenyewe...Dubaii!
Hahaha si ningejidai jamani. Naona wachumba hawanitaki kabisa, sina exposure ya USA Baby. Hii ya Ludewa imeshanitosha teh. Siku tu nikifika DUBAI mtakoma kwa hayo mapicha
 
yule nshomile bora tu ulimkosa kwakweli hata usijutie.
kwani unaolewa na nshomile wale wawili hadi utake eksipozha za USA?? we tulia hizo hizo zinakutosha.
Aah wewe bi mkubwa kwa ile ex-pozha ya Ludewa ntaishia kuolewa na afisa nanhii kama sio yule nanhii teh. hutaki kwenda USA Baby?
 
Hahaha si ningejidai jamani. Naona wachumba hawanitaki kabisa, sina exposure ya USA Baby. Hii ya Ludewa imeshanitosha teh. Siku tu nikifika DUBAI mtakoma kwa hayo mapicha

Mh!, I doubt it. Mama yako hapo rafiki zake wa usa baby, sa mwanae kwa nini asiwe kama huko.
 
hizo eksipozha sitaki tena kuzisikia, ndio gia alonikamata nayo baba yako na mpaka kesho hiyo dubai naisikia tu!! yaani alijua kuniweza yule mwanaume!!

Aah wewe bi mkubwa kwa ile ex-pozha ya Ludewa ntaishia kuolewa na afisa nanhii kama sio yule nanhii teh. hutaki kwenda USA Baby?
 
Hahaha yake yanalast longer, afu ukisikia lips kupauka, unajiramba kidogo. Mbona hujui budget wewe

Afadhali umenifunza, coz bajeti yangu kali.

Usoni ya vitumbua, kichwani ya nazi. Nsije karibisha siafu tu usiku. 🙂
 
Mh!, I doubt it. Mama yako hapo rafiki zake wa usa baby, sa mwanae kwa nini asiwe kama huko.
Rafiki zake wa wapi? Ndo anavyokudanganya? I bet kama kuna story kakusimulia ni kaisikia kwa watu
Hajui cha vacation sijui vaccination, mnaitaje vile?[emoji39] [emoji39]
 
Afadhali umenifunza, coz bajeti yangu kali.

Usoni ya vitumbua, kichwani ya nazi. Nsije karibisha siafu tu usiku. 🙂
Siafu sijui sisimizi wameze tu na wao. Ni dawa ya tumbo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125]
 
  • Thanks
Reactions: kui
Rafiki zake wa wapi? Ndo anavyokudanganya? I bet kama kuna story kakusimulia ni kaisikia kwa watu
Hajui cha vacation sijui vaccination, mnaitaje vile?
[emoji39] [emoji39]

Mwenzangu vaccination Dubai!

atoto na rafiki wa usa baby hiyo wanaona ndefu sana wanafupisha, vacay
 
Back
Top Bottom